Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Mnao angalia mpira live kunadalili kweli za haya magoli kurudishwa na Arsenal au kuna hatari ya kuongezwa
Presha ipo juu bora hata sipo karibu na luninga
 
Haya kijana jiandae nawe kwa kipigo baadae.
Ndoto za asubui hizo

Hali ni mbaya golini mwa Watoto!! Jamani namuona kipa Wa Watoto tu uwanjani!

Nauliza hiviOzil yuko wapi? Haonekani kabisa uwanjani!

Na kuanzia Leo sitaki tena mtusumbue mitaani Eti Ozil na sauti mnalegeza Ozil
City 5
Watoto 2
 
Mnao angalia mpira live kunadalili kweli za haya magoli kurudishwa na Arsenal au kuna hatari ya kuongezwa
Presha ipo juu bora hata sipo karibu na luninga
Tano mkuu na mpira ndio hivyo tena, pumzika tu.
 
Wacha nichekeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Vipi washika ukuta wa london, mbona siwaelewi?
 
Piga hao washika ukuta wa london mpaka waone nyota maana mtaani kelele zimezidi. Nyampafffffffff
 
Ngoja niende zangu pub, nikapige gambe...
 
Safi sana 6-3 arsenal chili...na bado mkikutana na Chelsea tena kipigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…