Wewe unasemaje Eti?
Hakai kimya mtu hapa! Saa za game sio mbali subiri uone!
Unachekesha!
Haya mkuu. Jiandalie kwa kipigo.Nipo City kwa mkopo ebo mnashangaa nini nani aliwaambia mashabiki hawawezi kuazimwa kwa muda mtashangaa leo sioni mtu wa kumzuia Silva na Aguero.
Hii game saa ngapi wadau..mi liver naomba mungu arsenal apoteze hii game angalau nimsogelee..
mmmmhhhhhhh eeeee mmmmhhhh
Wewe mwanga umerudi na leo............leo niko tayari kulimwa ban lakini nakula sahani moja na wewe, ole wako ulete ujinga wako kama wa usiku ule.
Dah nitaicheki kwenye simu hiyo game!
unachekije kwenye Simu? Weka maujanja tufaidi
Duh! Man city 7 Arsenal 0. Na red card Kwa Ateta!
Wewe unalilia ban leo? Jamani Nakupa pole!
Hatishwi mtu hapa na Mimi nakomaa na wewe mpaka wake Hiyo ban!
Wewe, wewe, wewe, Ngoja tuone Leo! Lazima mufungwe vibaya! Yani Ka timu kenu lazima Kawe ndembendembe! Muda wenyewe ushafika subiri uone wewe mtoto Wa Liemba Mfipa!
Teh Teh Teh! Na Mimi na mkwaraaaa wewe!
sihitaji kubishana na wewe kwenye maandishi, tutaonana uwanjaniHiyo ni facts,uwezo wako mdogo kwenye UCL
Man piga hao.
Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa kufa wa Arsenal lakini sina budi kuwaambieni wanazi wenzangu wa Arsenal kuwa hii game ni ngumu sana kwetu...siyoni jinsi yoyote ya kushinda hii game zaidi ya kufungwa tu.
Any way mpira ni dakika 90 acha tusubiri tuone...ila ninauhakika hii game tunafungwa tu. Eee Mungu tusaidie!!
Man piga hao.