wanakwambia ukitaka kukiona kinyeo cha kuku basi subiri upepo...
Teh teh teh leo upepo umevuma na tumekiona kinanihii cha Arsenal
Wanaitwa washika UKUTA, bunduki iliwashinda zamani.Chelsea 2
Crystal Palace 1
Washikabunduki mna kazi!
hii kitu ni hatari sanaa..
Chelsea 2
Crystal Palace 1
Washikabunduki mna kazi!
hii kitu ni hatari sanaa..
Tukija kw swala la mkakati Chelsea ni wazuri kuliko City!
Kwahiyo mimi nawapa nafasi chelsea