Kweli kabisa hapo ni njia ya kupata kitu kwa timu nyingine.Acha Manara akapige pesa huko,usimba wake atabaki nao moyoni,siku Simba ikihitaji taarifa muhimu kutoka Yanga itazipata tu kupitia kwenye mlango wa mtoto wa mjini.
"Over my dead body siwezi kuwa msemaji wa YANGA... Hata walete Hela zote za Benk siwezi kuwa msemaji wa YANGA"Hara Kama ltakuja kwanini ubashiri kuja baya na sio zuri.nkuulze hv mess kutok barca na kuuzwa PSG inamana PSG hawawez kumfukuza TNA?roho mbaya niga
Kweli aisee kazi iendeleeAsilimia kubwa wanaoongelea hii ishu ya manara ni mashabiki wa simba, muacheni kijana atafute ugali wake. Mambo ya kua yanga kalamba galasa, manara sio muadilifu, sijui atatoa siri, kafata pesa, msaliti na mengine kede kede mnayojazana hayo watajua waajiri wake wapya. Alishalizana na nyie mtulie sasa, kazi iendelee.