tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa majoho na masuti kwa sasa lazima uachwe akitilia mkazo suala la uwajibikaji kuliko kuzingatia vyeti.
Aidha, amedhihirisha wazi ya kuwa baada tu ya uapisho wake na kuanza kazi rasmi atasimamia kwa juhudi zote zoezi zima la kumaliza changamoto ya chemba za maji taka yanayozidi kuchafua hali ya hewa katika kata ya Kariakoo.