Tetesi: Manara Msemaji mpya wa PSV Eindhoven

Labda arudi kwa Makolo kuwa semaji Lao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mwacheni bro atulie kwanza. Mmemgongea wife hata mwezi haujaisha mnaendelea kumfuatafuata, kuweni na huruma
 
Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi Sina Lakusema Asanteni sana.
 
Acha bangi
 
๐Ÿ˜„
 
Attachments

  • 20250317_225829.jpg
    20250317_225829.jpg
    38.1 KB · Views: 19
Back
Top Bottom