Anamuheshimu mwajiri wake wa zamani kwa sababu, bakuri la zamani uwezi ukalihita kibakuriWadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi
My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani
Asije pata kuvimba kichwa kuliko yanga yenyeweKabananishwa...
Nimegundua hii kitu aiseeee jamaa wamemtema mazima kabaki insta tu hukoTelevision na vituo vya redio vimemuona ni mpuuzi tu.
Wameacha kumpa airtime kienyeji enyeji. Maana wamemuona ni mpuuzi.
Na hata media zipo bize na bumbuliNafasi aliokuwa nayo Simba pale Yanga anayo mtu mwengine (Bumbuli). Press zote zinazohusu mechi na matukio muhimu anafanya Bumbuli. Manara ni kama Mzaramo au Bi Hindu wa simba.
Kimsingi inaonyesha kapigwa pin na wenye Yanga.Ni kweli Manara huyu sio yule wa Simba.
Kiukweli kabisa Simba ajawai kushindwa vita.
Niliwahi kuwaambia watu fulani kuwa Siku Mo akiacha udhamini Simba akaja mwingine na Babra nae akaondoka, watu wasishangae kuona Manara anarudi Simba. Kwanza fikiria Manara japokuwa yupo Yanga kwa sasa lakini Post zake ni kuhusu Simba tu. Tofauti na alivyokuwa Simba, kuna wakati alikuwa anazungumzia ya Simba tu bila kutaja YangaKimsingi inaonyesha kapigwa pin na wenye Yanga.
Kila taarifa saivi inatolewa na yule zuzu Bumbuli.
Manara amebaki kupost mitandaoni km mtu binafsi.
Manara hawezi kuaminika pale Utopoloni. Ikumbukwe ana ugomvi na Mo na CEO wengine wote yuko nao vizuri. Anaweza kutumika na anatumika na Simba. Manara hajawahi kuwa Yanga ni maslahi yamempeleka pale.
[emoji16]Nafasi aliokuwa nayo Simba pale Yanga anayo mtu mwengine (Bumbuli). Press zote zinazohusu mechi na matukio muhimu anafanya Bumbuli. Manara ni kama Mzaramo au Bi Hindu wa simba.
Hivi walimpiga ban kweli mkuu?Walimbagua asikanyage kambini, wakati wa maandalizi ya mechi ya Simba na Yanga. Hivyo amekosa furaha ya uwepo wake hapo Utopoloni.
[emoji23]Haji bado ni mwanachama wa Simba.
Jana nimesikia kashachangia mchango wake kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mpya.
Hamna nwana Mkuu[emoji1787][emoji23] hawawezi kumwacha watamuongezea tuWeee! Unasema kweli [emoji50]
Tufanye hair time kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ear time?
mkiona mnamuongelea ndio umaarufu wenyeweUmaarufu wenye umeporomoka Bora angejinyamaziaga kimya kulinda heshima yake, na hata huko Yanga watamtimua tu baada ya mda
Mkuu sikuhizi hana vibe na hatishi angalia hata comment sikuhizi hazifiki elfu Moja zaidi ya comment ya mchepuko wake aunt Ezekielmkiona mnamuongelea ndio umaarufu wenyewe
Ni kwa sababu unafiki unamshinda!! unajua manara ni simba dam dam ila tumbo nalo linataka na haliwezi kushiba upenzi wa timu!! hadi leo yanga ikifungwa manara anafurahi sana inabidi atafute mahali kama vile chooni afurahie kama akiona hawezi tena kuchekea tumboni. Simba wakifungwa anaugulia tumboni lakini inabidi usoni na mdomoni amfurahishe mwajiri wake mpya ili mkono uende kinywani!! Manara ana kazi kubwa na ngumu sana!!Ila mpaka sasa amejitahidi sana kubalance!! hiyo si kazi ya kitoto!!Wadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi
My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani