Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

Nafasi ya afisa habari au Mkuu wa Kitengo cha Habari inahitaji sifa ya kuwa mwandishi wa habari. Kumbuka Mkuu wa Kitengo cha Habari anasimamia audio, video, TV, social media (instagram, facebook, twitter, website etc), sasa angalia vitu vyote hivi, kwa vyovyote vinahitaji mtu mwenye taaluma, sio kipaji tu cha kuongea.
hahah, hayo ndio mnayajua leo ehh, alipokuwa simba je?

Hebu tulieni dawa iwaningie makolo, msitikisike bado shughuli haijaisha, show show yani hadi inamalizika kisogo tumewapumulia kweli kweli

Kwa taarifa yenu hayo mambo ya elimu hayana nafasi, MANARA HAINDOKI!!!!!

LITAKUFA JITU MWAKA HUU
 
Mkuu, Simba inacheza uwanjani, mengine haya ni ya management zaidi. Kila timu iwekeze inapoona panawafaa. Simba imewekeza uwanjani, Yanga imewekeza kwenye watumishi. Vikosi vya wachezaji vitakutana uwanjani, na vikosi vya watumishi vitakutana nje ya pitch
 
sasa mbona umejij8bu vizuru kabisa, ndio ukae kimya sasa usubiri mechi zenu, manara mpuuzeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom