Manara acha uongo, weka vyeti hadharani au toa majina ya vyuo

Mpuuzi weewe hujui kwamba sheria za TFF zinasema maafisa habari wawe qualified?hujui hata makocha wa mpira wanahitaji vyeti?
No wonder kazi ya u afisa habari imeonekana ni ya wachambaji, hopeless kabisa,eti mess darasa hana umesikia vyeti ni kwa ajili ya wachezaji?
Jiiinga sana ww eti 'vyehi'......
wapi uliona msemaji wa timu wanataka vyeti au sheria ipi imeainisha hivyo.......
kumbafu kabisa ww toka na mavyeti yako....
wp uliona messi ana degree au diploma!!?
 
Mbona mnamshambulia tu bure mleta hoja, mimi hakuna mtu wa kuniuliza cheti wala vyeti kwasababu sijasema elimu yangu.

Kama Manara alikuwa na sababu ya kuisema elimu yake na nchi alikosomea basi anawajibu pia wa kuthibitisha hiyo elimu na vyuo alikosomea.
 
Jiiinga sana ww eti 'vyehi'......
wapi uliona msemaji wa timu wanataka vyeti au sheria ipi imeainisha hivyo.......
kumbafu kabisa ww toka na mavyeti yako....
wp uliona messi ana degree au diploma!!?
mkuu, waache hao, joto wanalopumuliwa na manara kisogoni linawapa taabu, ajabu ni kwamba hawataki kumu unfollow
 
Jiiinga sana ww eti 'vyehi'......
wapi uliona msemaji wa timu wanataka vyeti au sheria ipi imeainisha hivyo.......
kumbafu kabisa ww toka na mavyeti yako....
wp uliona messi ana degree au diploma!!?
semaji la utopolo linatetewa kwa nguvu zote
 
mkuu, waache hao, joto wanalopumuliwa na manara kisogoni linawapa taabu, ajabu ni kwamba hawataki kumu unfollow
wewe naitwa nzagambadume a.k.a MZEE TOZI muulize huyo unayesema anapumulia watu muulize kama mzee tozi huwa anapumuliwa au anapumulia kuwa na adabu mtoto m little TUNATAKA VYETI HAPA HARAKA SANA
 
Mbona mnamshambulia tu bure mleta hoja, mimi hakuna mtu wa kuniuliza cheti wala vyeti kwasababu sijasema elimu yangu.

Kama Manara alikuwa na sababu ya kuisema elimu yake na nchi alikosomea basi anawajibu pia wa kuthibitisha hiyo elimu na vyuo alikosomea.
SHANGAA WEWE HILO SUKULE NI JUZI TU NALISIKIA AMPLIFAYA YA MILLARD LINAJISIFU LIMESOMEA PROPAGANDA CHINA LINA DVANCED DIPLOMA YA SIASA NA MASS COMM KASOMA SOUTH AFRICA SASA KUULIZA VYETI AU MAJINA YA VYUO AU PICHA ZA GRADUATION WATU WAMEKUJA JUU..HEHEHEHE
 
Tatizo wengi wanashambulia badala ya kujadili.
 
nitajie msemaji mwenye vyeti ambae walau kafikia hata robo ya mshahara wa Manara
Unaweza anzishia mada yake hilo suala ,hata ukitaka kulinganisha rangi ya ngozi ,viatu vizuri, saa nzuri, gari ni juu yako MIMI NATAKA VYETI, MAJINA YA VYUO AU PICHA ZA GRADUATION
 
Mfano Elon Musk anaajiri watu kwa kuangalia uwezo wao haijalishi una cheti au hauna, kuna fani sikuhizi watu hawaangalii una cheti au hauna watu wanaangalia uwezo wako wa kukamilisha jambo na kupata matokeo chanya. Unaweza kusoma mass communication, pr, etc Ila ukashindwa ku deliver kama manara. Otherwise achunge tu maneno yake yasiwe ya kuvunjia watu heshima.
Uko nje ya mada kabisa. Manara amwdanganya kusoma, mleta mada anaomba vyeti. Ni hilo tu. Punguza muhaho mshauri alete vyeti. Halafu kama ni kudeliver,sasa Manara anadeliver nini zaidi ya porojo na kashfa
 
Mzee wa kuwakeraaaaa watu anajua sana kuishi kwa mipasho ya kutafutia huruma za watu.

Anamsakama Barbara wakati mwenzake shule imepanda vidato vipo kichwani.
 
Waliokuwa wanataka vyeti vya bashite wapumbav kama wewe,na bashite vyeti alikuwa anavyo sasa atakuoneshaje wewe na Gwajima nyie akina nani kwani?

Unataka uone vyeti vya wewe mzazi au muajiri kitengo?
Basi tuachane na vyeti naona umekuwa mkali kweli HAMNA HATA PICHA ZA GRADUATION? juzi lolopo lilikuwa linahojiwa na Millard ayo linajsifu kweli kusoma China na south africa...nikuliza vyeti mnakuwa wakali basi hata picha za graduuuuuu
 
Niwe mkali na nipo na simu yangu tu...mbon unanichekesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom