Huko KKKT Tabata wametokea manabii na watabiri hatari kidogo.Maombi yao yamejaa ukakasi kuna saa wanaombea watu utupu na kuna saa wanapiga watu hadi pepo zitoke.Kuna mafunuo ya kutisha kiasi cha kutilia hofu kwamba yanatoka kwa Mungu au shetwani.Haya nimeyapata kwa mtu aliyekumbana na hiyo zahama siku kadhaa zilizopita.

Kwa wasiowajua wakongo watashangaa, lakini wenzetu hao ni balaa kwa usanii, hata hivyo mankanisa ya KKKT Dar inabidi Mkuuu wao Askofu Malasussa ayaangalie sana kwani watu wengine wameyageuza kama yao binafsi, hayafanani na utamaduni wa kawaida wa KKKT. Unajua madhehebu maana yake halisi ni kuwa na utamaduni na mapokeo yake
Ndo shida na umaarufu ni shida nyingine,Hao wakongo wamekaa zaidi ya mwezi kwenye vipindi vya jioni na katikati ya wiki na wameshafanya semina pia.Tatizo wanalazimisha watu kuchumbiana hata kama hawapendani hili ni hatari sana.Tatizo wachungaji wetu wakisasa Pesa mbele kuliko huduma ndomana...
wew ni muumini mwenzangu,Samahani mkuu, KKKT Tabata ni too general, unaweza kusema ni usharika upi hasa wa KKKT Tabata, maana kuna KKKT Matumbi, KKKT Kimanga, Segerea,Machimbo,Msimbazi,Highlands,Tabata Kisiwani. Unaweza kututajia ni ipi hasa, maana nimecheck na jamaa wa Tabata kuu hakuna kitu kama hicho.
Ili kuweka mambo vizuri, tujulishe ni KKKT Tabata ipi, mimi ni mdau wa Tabata Kuu.
Ndo shida na umaarufu ni shida nyingine,Hao wakongo wamekaa zaidi ya mwezi kwenye vipindi vya jioni na katikati ya wiki na wameshafanya semina pia.Tatizo wanalazimisha watu kuchumbiana hata kama hawapendani hili ni hatari sana.
wew ni muumini mwenzangu,
huyu ni mwongo manake anaposema tbt asemi ipi, wanaitwa akina nani, walionekana lini nk
KimangaNi kweli mimi ni muumini wa KKKT, usharika wa Tabata Kuu kama nilivyosema hapo juu. Na sijaona hao Wakongo kanisani kwetu, kama wanafanyia mitaani siwezi kujua. Kuna Moravian, kuna Anglican, Kuna TAG, kuna Prophecy, kuna RC, makanisa haya yote yapo eneo moja pale Tabata baada ya kupita Bima na kabla hujapita Barakuda.
Kimanga
wew ni muumini mwenzangu,
huyu ni mwongo manake anaposema tbt asemi ipi, wanaitwa akina nani, walionekana lini nk
Mpendwa habari za kuwepo Wakongo Kimanga nimezipata. Nimempigia mdau wangu pale Kimanga kasema wapo yapata mwezi sasa. Naendelea na chimba chimba kujua kama ni kweli wanafanya hayo ambayo mdau kayataja.