Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

nashindwa kulala...agrrrrrrr!! nikifunga macho kina ronaldo, ramos, ozil et al wananitokea!! duuuuh
 
Dah polensn united ila inaonekana kama special one hakuwakamia sana na hakua na mpango wa kuwaaibisha mabingwa wenzake zaidi ya kutaka kusonga mbele tu ndo maana vjn wake wakawa wanapoteza muda na atimaye goli kua chache ila lkn nimekubali united ni timu kubwa duniani yenye wachezaji wenye majina ya kawaida lkn hatari....Tukutane msimu ujao ata km mnzani madrd hatafika popote(dua la kuku).....
 
hatuongei sana...anayefahamu mpira na kuangalia leo anajua cha kusema....Viva Man U..
Uzuri wa mpira kinachomata ni magoli tu.
Real Madrid is a big Libolo.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Timu dhaifu, Giggs awezi pambana na vijana wa RM, Rooney nje, Nani badala ya Young Ashley n.k. Ni mawazo yangu
Ushauri mzuri ILA Hebu tupe asilimia ya share zako MU, ndugu mjumbe?
 
Man 1-2 r.madrid man u nje barca tunasubiri uchawi wa messi ataonyesha maajabu 12/03/2013 camp nou
 
hatuongei sana...anayefahamu mpira na kuangalia leo anajua cha kusema....Viva Man U..

hata mngecheza zaidi ya hapo afu mkapigwa bado ingekuwa ni haina maana,wala usijitete
 
U guys really didn't expect to win this game..pliiiiiizzzzzzz Muda wa kustaafu babu!!!! Hivi kwa nini kocha kakuweka sub leo!?? The special one...
 
Man utd amekutana na madrid libolo ya angora. Limeingia likang'ang'ania. Arsenal ndiyo timu pekee imebaki kwenye UCL,asiyetaka anywe sumu ya panya.
 
Nna hacra na refa AMA zake AMA zangu nikikutana naye njiani
 
Libolo limeingia likang'angania. Limeingia kama la mbwa. Mdomo wote umekatwa.furgeson alisema atachukua vikombe vitatu. Tambo za man u zimewagalimu. Acha watoke. Wamewabololise leo
 
Mungu hayupo upande wa Manchester united tuu,.... ummelijua jiji leo... Dar kimya kama mnanyolewa... na bado... hata ubingwa wa Uingereza mwaweza POTEZA vilevile... HALAFU SIWAPENDI MAN U....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…