Wawakilishi waliobaki kutoka England ni Gunners pekee mpende msipende khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtakoma na mambo ya Gunners . .... .... yaani chichi inabidi mtuombee tuwakung'ute wajerumani .... .... ..
card ilikuwa mbaya lakini ref kazidisha baada ya Nani kufanya kaumia ili asipate yellow card na kweli hakupata yellow kapata red kabisa na alikuwa anajua nini kinafuata ndio maana aliect dive+foul=red