Man Utd mkombozi pekee..

Man Utd mkombozi pekee..

Baada ya vilaza wa Arsenal na makuli wa Man City kutolewa kwenye UEFA champions league,wakombozi pekee waliobakia ni Manchester United ambao ndio wataingia hatua ya robo fainali kuwakilisha Uingereza.

Chelsea nawapa 50-50 ila moyo wote kwa mashetani wekundu,deficit ya magoli mawili itakuwa ndio chachu ya kuwapiga goli 4 kwa moja pale OT na kuwasukumiza nje ya mashindano mabaharia wa ugiriki Olympiacos.

Anayebisha na ajitokeze hadharani
971165_10153927665000508_1048737614_n.jpg
 
TEPETEPE NI HUYO WENGER SISI TUNASONGA.KAZI YETU NI MOJA TUU KUWAWAKILISHA WAINGEREZA.
Nabisha kwani timu tepetepe kama man u haiwez wika mbele ya majogoo olimpiacos,lazima waolewe! English teams zote out[/QUNUOTE]
 
sasa huo mfupa uliomshinda kilaza Arsenal tuachieni sisi Amn Utd,safari Bayern ndio imeishia hapo haendi kokote
 
Nabisha kwani timu tepetepe kama man u haiwez wika mbele ya majogoo olimpiacos,lazima waolewe! English teams zote out

sawa mshenga nafikiri umeona nani kaolewa sasa
 
Old Toilet (OT) kunanuka sana siku hizi!

Labda mkitaka kushinda idadi hiyo ya magoli muombe mtumie viwanja vingine nje ya OT,

Mkikaidi mkacheza hapo OT matokeo yatakuwa hivi,
Manyau Utd 2 vs 1 Olympiacos!

Then jibu unalo ww mwenyewe!

hongera Sheikh Yahya wa 2 kwa utabiri wako
 

Yametimia Mkuu Nakapanya yale uliyonena sasa tupe tena mtazamo wako huko iendako Man U
:A S 465:

nia tunayo,uwezo tunao na sababu pia tunayo...nasema Wapigwe Bavarians.....wapigwe Bavarians.....wote tuseme na apigweeeeeeee....
 
:A S 465:
nia tunayo,uwezo tunao na sababu pia tunayo...nasema Wapigwe Bavarians.....wapigwe Bavarians.....wote tuseme na apigweeeeeeee....

Kwakuwa historia inasema kombe hili huwa bigwa hajawahi kulitetea hata mara moja,ndiyo kusema Man U njia nyeupe kumtoa Bavarians nadhani ni suala la muda tu tutaona ikiwa bigwa mtetezi atatolewa na Man U.
 
Nakapanya;
hongera Sheikh Yahya wa 2 kwa utabiri wako,


Mkuu Nakapanya Manyau Utd with NO-YES manager going nowhere!


#in & out,
 
Baada ya vilaza wa Arsenal na makuli wa Man City kutolewa kwenye UEFA champions league,wakombozi pekee waliobakia ni Manchester United ambao ndio wataingia hatua ya robo fainali kuwakilisha Uingereza.

Chelsea nawapa 50-50 ila moyo wote kwa mashetani wekundu,deficit ya magoli mawili itakuwa ndio chachu ya kuwapiga goli 4 kwa moja pale OT na kuwasukumiza nje ya mashindano mabaharia wa ugiriki Olympiacos.

Anayebisha na ajitokeze hadharani

this thread life time end after the second leg game is over..
 
:A S 465:

Kwakuwa historia inasema
kombe hili huwa bigwa hajawahi kulitetea hata mara moja,ndiyo kusema Man U njia nyeupe kumtoa Bavarians nadhani ni suala la muda tu tutaona ikiwa bigwa mtetezi atatolewa na Man U.

Hapo pekundu, kuweka rekodi sawa, kuanzia miaka ya 1990 ndio miaka ambayo bingwa hajawahi kutetea kombe hilo. Lakini kwa miaka ya nyuma timu kadhaa zimewahi kutetea kombe hilo, AC Milan ameshawahi kuchukua kombe hili (1988/89, 1989/90). Nottingham Forest (1978/79, 1979/80), Bayern Munchen (1973/74, 1974/75, 1975/76). Wengine ni FC Ajax (mara 3 mfululizo), SL Benfica (mara 2) na FC Real Madrid (mara 5 mfululizo)
 
Hata chelsea tuliwadharau hivihivi kama mnavyotudharau leo. GGM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom