Man utd fans:Mata ana nafasi ndani ya timu?

Man utd fans:Mata ana nafasi ndani ya timu?

Nakapanya
Man United inahitaji kujengwa upya kuna wachezaji wengi wana miaka 30+(Giggs,Rio,Vidic,Fletcher,Evra,RVP,Carick) Valencia,Young na Rooney wote wanatimiza miaka 29 while Mata ana miaka 25 na tayari ana uzoefu na EPL
Mata anaweza kucheza winga zote (kulia na kushoto),namba 8,10 na pia ni kiungo ambaye anafunga magoli na hilo ni tatizo kubwa la Man United hakuna viungo wanafunga magoli.

Pamoja na kumsajili Mata still timu inahitaji viungo wakabaji kama Pogba,Vidal,Cabaye so sidhani kama usajili wa Mata ndio wa mwisho.

Then hakuna guarantee kama Rooney atabaki i hope umeona anavyotingisha kiberiti

Kwa kuongezea tu ni kuwa Mata ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pass hasa ndefu, pia ni mzuri kwenye mipira iliyokufa. Binafsi tunapocheza na Chelsea anapokuwepo Mata akigusa tu mpira huwa nakosa amani maana anaweza fanya lolote hata akiwa mbali.
 
Mechi ya kwanza MAN U ilifungwa 2-1, jana MAN U imeshinda 2-1. Hivi wadau kwa matokeo ya jana CAPITAL ONE, nini nafasi ya Manchester United?

man utd ametoka kwa mikwaju ya penati
 
ni kweli Rooney anatishia kuondoka,sasa vp kama asipoondoka?na hata akiondoka Kagawa si tunaye ,anaweza kucheza kama wing na inside ten,sasa Juan Mata wa nini?hao uliowatajaCabaye,Vidal na Pogba ndio aina ya wachezaj tunaowahitaj kwa sasa sio Mata

Kagawa tangu amekuja ameshindwa kufikia kiwango alichotegemewa tatizo kubwa hana nguvu hata mwenyewe amekiri hilo EPL ni ligi inayohitaji sana nguvu ndio maana akicheza kwenye Champions League anacheza vizuri

Mata anaweza cheza namba 7,8,9,10,11 Tunahitaji viungo wabunifu ambao wanatengeneza magoli na kufunga kitu ambacho Mata anaweza na ana uzoefu na EPL

Kumbuka timu inajengwa upya kuna wachezaji wengi huenda wakaondoka so sioni mtu wa kumweka benchi Mata.Young,Nani,Fletcher,Cleverley,Giggs huenda wasiwepo msimu ujao

Cabaye/Vidal/Pogba ni wachezaji wanaoweza kukaba na kufunga magoli na wanatumia nguvu kama alivyokuwa Roy Keane,Hagreaves na Fletcher kwa sasa hatuna mchezaji wa aina hiyo.Hao niliowataja msimu huu kila mmoja amefunga magoli si chini ya 5.Ukiwa na viungo wa aina hiyo hata Rooney,RVP wakiumia still wanaweza kufunga magoli na ndio tatizo kubwa tumelipata kucheza bila RVP na Rooney

Mpira wa siku hizi idara ya kiungo ni muhimu sana Bayern wana Gotze,Tiago,Kroos,Bastian,Roben,Ribery,Lahm,Martínez,Muller Arsenal wana Arteta,Flamini,Ramsey,Ozil,Carzola,Rosisky,Wilshere,Walcot,AOX,Gnabry,Podolski Chelsea wana Mikel,Lamps,Matic,Oscar,Willian,Luiz,Ramirez,Hazard,Ginkel,Essien City wana Toure,Silva,Fernandinho,Nasri,Milner,Rodwell,García Juve wana Pogba,Vidal,Pirlo,Marchisio,Kwado,Padon,Pepe,Isla so ukiangalia wapinzani wetu walivyo imara kwenye kiungo utaona upungufu wa Man United
 
msimu huu Kagawa amecheza mechi tisa tu,na hizo mechi tisa nyingi hajamilza dakika tisini,unafikiria mchezaj atakuwa na outstanding performance,give him a time to play
Sometimes amekuwa majeruhi, cha msingi ni kuangalia perfomance ya hizo game 9.No assist no goal then timu inafanya vibaya so kocha anaangalia wachezaji watakaosaidia timu kwa sasa mfano ni Januzaj.Tatizo kubwa la Kagawa ni nguvu EPL bila msuli lazima utachemka
 
Kuna tetesi zimezagaa katika vyombo vya habari hususani vile vya Uingereza kuwa Manchester united wanakaribia kumsajili Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia paundi milioni arobaini dau ambalo litavunja rekodi ya klabu katika usajili.

Sina shaka uwezo wa Mata uwanjani,tatizo langu ni je tunamuhitaji Mata katika timu ya Man Utd?,je mchezaji huyu atacheza namba ngapi ikiwa namba anayocheza tayari kuna wachezaji wapo Rooney na Kagawa akikaa benchi kumsubiria Rooney aumie?kama ataamua kumchezesha winga kushoto kule si ndio wapo wengi mpaka wengine wanalilia kuondoka(Luis Nani),pia kuna Januzaji,Young.

Mimi naungana na mawazo ya Gary Nevile kuwa Mata sio chaguo sahihi kwa manchester united kwa sasa,itafute wchezaji wanohitajika katika timu.Au ndio maandalizi ya kuondoka kwa Rooney mwishoni mwa msimu?

MATA anahitajka Old Traford,akicheza namba 8,Carrick 6,mabadiliko chanya yataonekana.
 
Tunachoitaji ni pesa leta pesa upate mchezaji nyie endeleeni kutoa mapovu kwenye kibodi ila tunavunja benki yenu..mmeuza ronaldo mnanunua wachezaji wa mafungu ashley.valencia,carrk,cleverly,smalling,jonas majina hayaendani na ukubwa wa club ....cheki mata,oscar,hazard,obi,willlian yana sound igeni asenal na ozil wao
 
Nakapanya
Man United inahitaji kujengwa upya kuna wachezaji wengi wana miaka 30+(Giggs,Rio,Vidic,Fletcher,Evra,RVP,Carick) Valencia,Young na Rooney wote wanatimiza miaka 29 while Mata ana miaka 25 na tayari ana uzoefu na EPL
Mata anaweza kucheza winga zote (kulia na kushoto),namba 8,10 na pia ni kiungo ambaye anafunga magoli na hilo ni tatizo kubwa la Man United hakuna viungo wanafunga magoli.

Pamoja na kumsajili Mata still timu inahitaji viungo wakabaji kama Pogba,Vidal,Cabaye so sidhani kama usajili wa Mata ndio wa mwisho.

Then hakuna guarantee kama Rooney atabaki i hope umeona anavyotingisha kiberiti

Belo, Mata ni "number 10" sio kweli kwamba Mata anaweza kucheza namba 8, ila hao uliwataja kina Vidal, Pogba na Cabaye ndio viongo namba 8
Akichezeshwa namba 7 au 11 ni mzuri sana kwenda mbele lakini hawezi kurudi nyuma kusaidia team ikipoteza mpira na hiyo ni kazi namba mbili ya winga yoyeto yule, kumsaidia beki wake team ikiwa haina mpira

Halafu Pogba, Vidal na Cabaye sio viungo wakabaji, ila wanauwezo wa kukaba ndio maana wanacheza namba 8, ukiangalia Newcastle mkabaji pale ni Tiote, Juventus alikuwepo Melo siku hizi anayecheza hapo ni Pirlo au Marchisio
 
Last edited by a moderator:
Tunachoitaji ni pesa leta pesa upate mchezaji nyie endeleeni kutoa mapovu kwenye kibodi ila tunavunja benki yenu..mmeuza ronaldo mnanunua wachezaji wa mafungu ashley.valencia,carrk,cleverly,smalling,jonas majina hayaendani na ukubwa wa club ....cheki mata,oscar,hazard,obi,willlian yana sound igeni asenal na ozil wao

lakini ndio hao walitupa mafanikio
 
Belo, Mata ni "number 10" sio kweli kwamba Mata anaweza kucheza namba 8, ila hao uliwataja kina Vidal, Pogba na Cabaye ndio viongo namba 8
Akichezeshwa namba 7 au 11 ni mzuri sana kwenda mbele lakini hawezi kurudi nyuma kusaidia team ikipoteza mpira na hiyo ni kazi namba mbili ya winga yoyeto yule, kumsaidia beki wake team ikiwa haina mpira

Halafu Pogba, Vidal na Cabaye sio viungo wakabaji, ila wanauwezo wa kukaba ndio maana wanacheza namba 8, ukiangalia Newcastle mkabaji pale ni Tiote, Juventus alikuwepo Melo siku hizi anayecheza hapo ni Pirlo au Marchisio

My point kwa Mata ni kwamba ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti so sioni kama akija Man United atakosa namba.Young,Nani wote hakuna wanachosaidia timu ikiwa haina mpira

Kwangu mimi Vidal ni kiungo bora aliyekamilika ana uwezo wa kukaba na kushambulia,uwepo wake ndio unamfanya Pirlo anaenjoy pamoja na uzee wake pale Juve.Pogba na Cabaye nao wanaweza kucheza kama Vidal.SAF alichemsha sana kumuacha Pogba kwa sasa ni expensive sana huenda Juve wakamuuza mwisho wa msimu Cabaye ni cheap na tayari ana uzoefu na EPL
 
Last edited by a moderator:
Acheni mapenz n ushabiki kagawa ni mchezaji mzuri ila ligi ina msumbua coz of stamina yake n mfumo wa man wa wachezaji kutokaa sehem moja imn wanakaa mbalimbali..juz yeye mwenyewe kasema ilo kwenye interview...mata c chaguo sahihi sana ila ata saidia sana timu tena katika kipind iki timu inazengua na kama unafatilia statistics za assist n pas za mwisho mata kamshinda ozil msimu ulio pita....
 
My point kwa Mata ni kwamba ana uwezo wa kucheza nafasi tofauti so sioni kama akija Man United atakosa namba.Young,Nani wote hakuna wanachosaidia timu ikiwa haina mpira

Kwangu mimi Vidal ni kiungo bora aliyekamilika ana uwezo wa kukaba na kushambulia,uwepo wake ndio unamfanya Pirlo anaenjoy pamoja na uzee wake pale Juve.Pogba na Cabaye nao wanaweza kucheza kama Vidal.SAF alichemsha sana kumuacha Pogba kwa sasa ni expensive sana huenda Juve wakamuuza mwisho wa msimu Cabaye ni cheap na tayari ana uzoefu na EPL

Na mimi nadhani mnahitaji zaidi a midfield general kama Cabaye au Vidal na sio a play maker ambao mnao tayari, Rooney, Januzaj, Kagawa, kwa hiyo pesa ni bora mngemnunua Cabaye na Lallana/Ross Barkley.
Mata ni mchezaji mzuri ila ni kama panic buy aliyofanya Moyes
 
Siwezi kumlaumu Moyes kwenye matatizo ya usajili ukweli matatizo mengi yamesababishwa na SAF,timu ilipaswa kusajili viungo tangu misimu 4 iliyopita but yeye alikuwa anaendelea kusajili mawinga.Kumbuka alivyomwachia Pogba aondoke.Moyes amepewa timu na at least amethubutu kutafuta solution.Future ya Rooney haileweki so MATA atakuwa na msaada,Cabaye is the best option available kwa sasa
 
Unajua mpira;
Belo, Mata ni "number 10" sio kweli kwamba Mata anaweza kucheza namba 8, ila hao uliwataja kina Vidal, Pogba na Cabaye ndio viongo namba 8
Akichezeshwa namba 7 au 11 ni mzuri sana kwenda mbele lakini hawezi kurudi nyuma kusaidia team ikipoteza mpira na hiyo ni kazi namba mbili ya winga yoyeto yule, kumsaidia beki wake team ikiwa haina mpira

Halafu Pogba, Vidal na Cabaye sio viungo wakabaji, ila wanauwezo wa kukaba ndio maana wanacheza namba 8, ukiangalia Newcastle mkabaji pale ni Tiote, Juventus alikuwepo Melo siku hizi anayecheza hapo ni Pirlo au Marchisio
 
Sijakataa kaka,ila sidhani kama Moyes ataweza kumfix mtu kama Mata ili aje kuwa na impact kubwa kwa timu,ni vipi mlivyoongea juu ya ujio wa Fellaini?

"Nlikuwepo":bolt:

kuhusu fellaini mi ni mmoja wa watu ambao sikuufurahia usajili wa huyu jamaa tena kwa hela nyingi.fellaini huwa namuona kuwa ni average player ingawa pia namlaumu sana moyes kwa kushindwa hata kumtumia kama alivyokuwa anamtumia akiwa everton. kumbuka kuwa pale everton alikuwa anapangwa kama kiungo mshambulia na muda mwingi alikuwa anacheza karibu goli la wapinzani.lkn cha ajabu hapa man u anatumika kama kiungo mkabaji kitu ambacho hawezi kwani yeye ni mzito sana
 
kama hiyo ya kushambulia ingekuwa ni njia mojawapo ya kudefence bac Mourinho asingemruhusu Mata aondoke na angekuwa anamtumia,Mata kama Kagawa wote wana weakness ya kukaba timu inaposhambuliwa

wewe naona haujanielewa kabisa namaanisha nini ninaposema kushambulia ni njia ya kujihami pia. chukulia mfano wa wewe mwenyewe unapigana na mwenzako halafu muda wote wewe mwenzio anarusha ngumi huku wewe unafanya kazi ya kupangua ngumi zake,je unategemea jamaa ataacha kukushambulia wakati wewe hurushi ngumi? lkn na wewe utakapoanza kurusha ngumi itabidi na yeye ajilinde hivyo hataweza kurusha ngumi mfululizo.

angalia timu ya barcelona jinsi ilivyo na beki mbovu lkn haifungwi kirahisi.ukichunguza vizuri utaona muda barca huwa inashambulia kuliko kuzuia hivyo kuwapa nafasi hata mabeki kwenda kushambulia
 
As long as Moyes anampa prominent role yule mtoto JANUZAj, MU hawawezi kushinda mechi kwasababu yule kijana ni mchoyo wa mipira na ana tamaa ya kufunga ili hali kila mara anapoteza mipira!! Moyes anampa kupiga penalt huyu kijana na kuwaacha wakina Valencia na matokeo yake anakosa hata penalt!!!
 
Back
Top Bottom