Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Kuna tetesi zimezagaa katika vyombo vya habari hususani vile vya Uingereza kuwa Manchester united wanakaribia kumsajili Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia paundi milioni arobaini dau ambalo litavunja rekodi ya klabu katika usajili.
Sina shaka uwezo wa Mata uwanjani,tatizo langu ni je tunamuhitaji Mata katika timu ya Man Utd?,je mchezaji huyu atacheza namba ngapi ikiwa namba anayocheza tayari kuna wachezaji wapo Rooney na Kagawa akikaa benchi kumsubiria Rooney aumie?kama ataamua kumchezesha winga kushoto kule si ndio wapo wengi mpaka wengine wanalilia kuondoka(Luis Nani),pia kuna Januzaji,Young.
Mimi naungana na mawazo ya Gary Nevile kuwa Mata sio chaguo sahihi kwa manchester united kwa sasa,itafute wchezaji wanohitajika katika timu.Au ndio maandalizi ya kuondoka kwa Rooney mwishoni mwa msimu?