Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,469
- 38,205
Mkuu Bulesi hata mimi nimeona Moyes ameshindwa kumwelekeza vyema Januzaj,mara kadhaa anashindwa kutoa pasi kwa wachezaji wenzake hata kama wako katika nafasi nzuri ya kufunga.Mfano jana kuna wakati kawekewa pande zuri mwenzake akafungua badala ya kumpasia akaamua kupiga mpira fyongo.
As long as Moyes anampa prominent role yule mtoto JANUZAj, MU hawawezi kushinda mechi kwasababu yule kijana ni mchoyo wa mipira na ana tamaa ya kufunga ili hali kila mara anapoteza mipira!! Moyes anampa kupiga penalt huyu kijana na kuwaacha wakina Valencia na matokeo yake anakosa hata penalt!!!
Last edited by a moderator: