Man U Kushuka Daraja Mwaka Huu!

Man U Kushuka Daraja Mwaka Huu!

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,731
Hali ni mbaya. Mashabiki walionekana wakihaha huku na huko. Dua lao lilikuwa ni moja tu: Ferguson rudi uokoe jahazi!
 
kweli kabisa. itashuka tu. Ila msimu ujao lazima itapanda tena, piga ua.
 
Huo Ni Ukweli Kabsaaa!

Man U Ya Sasa Haieleweki Kabsaaaa!

Kushuka Daraja Ni Lazima Na Haikwepeki!

La Hutaki Unaacha...
 
mtasubiri saaanaaa.....nafasi yetu ni ile ile Kama machampions. ...time will tel
 
...huyu jamaa wamempa timu kumbe kimeo,anatupa presha tu...
 
...huyu jamaa wamempa timu kumbe kimeo,anatupa presha tu...

umeona mkuu yani hana utofauti ya yule kocha wa simba mchungaji waliomtimua.yan timu saizi imepoteza muelekeo haina teamwork wachezaji kazi kulaumiana uwanjani sub zenyewe anafanya anajua mwenyewe mm nimemind sana kwa kweli yan anatufanya watu tusiwe comfotable kuangalia mpira bar tujifungie majumbani.vp bungen huko shwari usalama unatosha huko au paka area D
 
Wewe si mshabiki wa kweli wa Man United.

Timu ipo vizuri sana; sasa na Fellaini ndani, basi tatizo la DM limeisha. Tumecheza mechi 3, kushinda 1, droo 1 na kufungwa 1 wewe unaanza kusema kocha haeleweki!!!

Unajua ilimchukua muda gani SAF kuestablish his mark at OT?!?

Kwanza sijui kwanini nimekujibu, wewe mtu husiyefahamu soka!
 
Mashabiki wa Man U ndio wanaoongoza kuwa na hasira kwenye mpira.

usidhubutu kuwaambia ukweli kuwa timu yao mbovu mtagombana, wengi wanatamani babu arudi sababu aliwazoesha ushindi hata kama timu imezidiwa itashinda tu. Marefa wengi walikua wanamwogopa Babu wakati mwingine hata FA walimtetemekea.

Poleni mashabiki wa Man u, itabidi muwaombe mashabiki wa Arsenal wawaeleze wanaishije na timu yao kwa ushindi wa kubahatisha na kupata vikombe ni majaaliwa.!!
 
Angalieni goal difference kwa sasa kabla ya kutoa mawazo. Bado ni mapema mno
Pia ni Mechi 3;

1 won (against Swansea ambayo siyo timu mbaya);
1 drawn (against Chelsea With Mourinho!);
1 lost (against Liverpool ambayo ni kawaida kuikamia ManU)

Msimu uliopita baada ya mechi 3 wakiwa na Mzee Ferguson, NA WAKATWAA UBINGWA:

20.08.2012 Everton Lost 0-1
25.08.2012 Fulham Won 3-2
02.09.2012 Southampton Won 3-2
 
article-2408682-1B978955000005DC-935_634x551.jpg
 
Mashabiki wa Man U ndio wanaoongoza kuwa na hasira kwenye mpira.!

Wana hasira kuliko wale wanaojiua baada ya kichapo kutoka kwa Man United?

www.goal.com/en-india/news/221/champions-league/2009/05/06/1249621/kenyan-fan-commits-suicide-after-arsenals-champions-league

news.sky.com/story/691459/arsenal-fans-suicide-over-man-utd-defeat

www.independent.co.uk/sport/football/news-and-comment/arsenal-fan-hangs-himself-after-manchester-united-defeat-1680088.html

usidhubutu kuwaambia ukweli kuwa timu yao mbovu mtagombana, wengi wanatamani babu arudi sababu aliwazoesha ushindi hata kama timu imezidiwa itashinda tu. !!

Wengi? Una chanzo chochote cha kuonyesha mashabiki wengi wa United wanatamani hivyo?

Marefa wengi walikua wanamwogopa Babu wakati mwingine hata FA walimtetemekea.!!

Una ushahidi wowote? Onyesha wakati ambapo marefa walimwogopa SAF, na wakati ambapo FA walimtetemekea! Ingekuwa hivyo, basi United angekuwa bingwa kila msimu! Kuna misimu United ilimaliza ligi bila ya kombe hata moja chini ya SAF. Misimu ya 1986/87, 1987/88, 1988/89, 1994/95, 1997/98, 2001/02 na 2004/05. Vipi unasemaje hapo, FA na marefa hawakuwepo?

Poleni mashabiki wa Man u, itabidi muwaombe mashabiki wa Arsenal wawaeleze wanaishije na timu yao kwa ushindi wa kubahatisha na kupata vikombe ni majaaliwa.!!

Pole ya nini? Kufungwa mara 1 katika mechi 3?!? Mbona United ndiyo staili yake; kuanza ligi kwa kusuasua. Msimu wa jana, tulianza na kichapo kutoka kwa the Tofees, chini ya SAF! Mbona hukutoa pole na kusema FA na marefa wanamtetemekea na kumwoga SAF?!?

Husipende kujifanya unaifahamu United; hauifahamu. SAF alivyoanza kufundisha msimu wa kwanza alimaliza wa 11, huku msimu mzima akipigana kuepuka kushuka daraja. Msimu uliofuata alimaliza pointi 9 nyuma ya mabingwa Liverpool licha ya kuwasajili Steve Bruce na Brian McClair waliokuwa moto kipindi hicho.

Nachotaka kukwambia ni kwamba, mimi kama mfuasi wa United, nina imani kubwa sana na Moyes na chama langu kiujumla. Kipindi cha SAF kimeshaisha sasa chama linasonga mbele chini ya Moyes' Red and White Army . Na utazidi kuichukia United mpaka kaburini hater
 
Angalieni goal difference kwa sasa kabla ya kutoa mawazo. Bado ni mapema mno
Pia ni Mechi 3;

1 won (against Swansea ambayo siyo timu mbaya);
1 drawn (against Chelsea With Mourinho!);
1 lost (against Liverpool ambayo ni kawaida kuikamia ManU)

Msimu uliopita baada ya mechi 3 wakiwa na Mzee Ferguson, NA WAKATWAA UBINGWA:

20.08.2012 Everton Lost 0-1
25.08.2012 Fulham Won 3-2
02.09.2012 Southampton Won 3-2

Tatizo kuna watu ndo wameanza kuangalia mpira juzi tu na huwa wanaangalia Big Match peke yake alafu wanajifanya wanaijua Man Utd. Hivi ni lini mara mwisho Kwa Man Utd kucheza mechi tatu za mwanzo wa ligi bila kufungwa mechi hata moja?
 
Hawa jamaa wanaongea kama walevi wa wanzuki ama kangala kabisa. Hawana takwimu wanajiingelesha tu.

Kwa hizo takwimu, inaonyesha timu imeimarika sana katika ulinzi. Kwani msimu wa jana, katika mechi 3 tulifungwa magoli 5, msimu huu, katika mechi 3 tumefungwa magoli 2!

Eneo liloonekana kupwaya ni midfield. Kwa ujio wa Fellaini, dawa imepatikana. Na Rooney na Kagawa wakiwa fit, basi RvP na Hernandez watafunga magoli kama kawaida. Ila Hernandez inabidi awe anaanza kucheza, Welbeck apumzishwe. Nani na Valencia wacheze wote kwenye wings wakisaidiwa na dogo Zaha. Young asipewe nafasi ya 11 wa kwanza. Anderson apewe nafasi ya kucheza middle, Cleverley asugue benchi. Rafael akipona, Jones anaweza kusaidiana na Fellaini kama kiungo mkabaji. Buttner apewe nafasi zaidi ya kumsaidia Evra; Evra kachoka siku hizi, anakuwa mzito kurudi nyuma.

Bado naliaminia chama langu; hata tusipotwaa ubingwa wowote mwaka huu, nitamwamini Moyes.

Once United, always United
 
Angalieni goal difference kwa sasa kabla ya kutoa mawazo. Bado ni mapema mno
Pia ni Mechi 3;

1 won (against Swansea ambayo siyo timu mbaya);
1 drawn (against Chelsea With Mourinho!);
1 lost (against Liverpool ambayo ni kawaida kuikamia ManU)

Msimu uliopita baada ya mechi 3 wakiwa na Mzee Ferguson, NA WAKATWAA UBINGWA:

20.08.2012 Everton Lost 0-1
25.08.2012 Fulham Won 3-2
02.09.2012 Southampton Won 3-2

Tatizo kuna watu ndo wameanza kuangalia mpira juzi tu na huwa wanaangalia Big Match peke yake alafu wanajifanya wanaijua Man Utd. Hivi ni lini mara mwisho Kwa Man Utd kucheza mechi tatu za mwanzo wa ligi bila kufungwa mechi hata moja?
 
Mashabiki wa Man U ndio wanaoongoza kuwa na hasira kwenye mpira.

usidhubutu kuwaambia ukweli kuwa timu yao mbovu mtagombana, wengi
wanatamani babu arudi sababu aliwazoesha ushindi hata kama timu imezidiwa itashinda tu. Marefa wengi walikua wanamwogopa Babu wakati mwingine hata FA walimtetemekea.

Poleni mashabiki wa Man u, itabidi muwaombe mashabiki wa Arsenal wawaeleze wanaishije na timu yao kwa ushindi wa kubahatisha na kupata vikombe ni majaaliwa.!!
anakuja -------- kutoka kusikojulikana huko amebana pua anakwambia man u lazima ishuke daraja.halafu unataka tukae kimya, watu hamjui mpira mnaazimish mambo, yaani mechi ya pili mnaanza tantarira.ligi bado mbichi mno.
 
Form is temporary, Class is permanent

Suala la Man Utd kushuka daraja sahau kabisa, labda ingekuwa hii misukule yetu ya hapa bongo ndio ungesema hivyo...
 
Back
Top Bottom