Man U Kushuka Daraja Mwaka Huu!

Man U Kushuka Daraja Mwaka Huu!

Pigana kufa garagara jinyonge au jisaidie kibarayani Man utd HAIWEZI kushuka daraja hata siku moja.
Biashara ni asubuhi jioni kuhesabu faida. Mwisho wa msimu Tunaongoza namba moja au mbili.
GGMU!!
 
Dua la Kuku kamwe halimpati Mwewe
yaani unawaza utajiri wakati hujishughulishi kwa lolote.

Man U go go go!!!!!!
 
Pole sana mleta mada,ntakupa pole zaidi mwisho wa msimu najua kipindi hicho utakuwa kwenye fadhaa kubwa!!!
 
kushuka kisa nin!?kufungwa na liver au?labda mtoa mada ameanza ushabiki juzi,haijui man u.
 
Usitishie kujamba ilhali una harisha. (sitaki kuongea mengi yote yasha semwa na wenzangu)
 
Kucheza mechi 3 tu, watabiri mmeanza,kuwa Man U itashuka daraja hizo ni ndoto za mchana.ni kuota huku umesimama wima.
 
...huyu jamaa wamempa timu kumbe kimeo,anatupa presha tu...

Mkuu mwanzo ni mgumu. Hata Ferguson ilimchukua muda hadi kuanza kuvuna makombe. Kuweni na subira na Moyes. Kumbuka ni game6 tu zimechezwa. Ligi bado mbichi sana
 
Mlizoea ubingwa wa kubebwa sasa kibabu ameondoka na mafanikio nayo yametoweka, ingawa timu ni ile ile.
 
Mkuu mwanzo ni mgumu. Hata Ferguson ilimchukua muda hadi kuanza kuvuna makombe. Kuweni na subira na Moyes. Kumbuka ni game6 tu zimechezwa. Ligi bado mbichi sana

...mkuu kuna kocha sikumbuki wa timu gani,game ya tano tu katolewa nduki, man saizi ya 12,ingawa babu alianza kwa shida lakini na timu alikabidhiwa haikuwa nzuri sana, huyu jamaa kapewa timu imesimama fresh kila idara kasoro sehemu chache tu za ulinzi lakini haleti matumaini kabisa...daaah..!
 
Ni Sunderland...
 
Back
Top Bottom