man sita... Sory, man u!

man sita... Sory, man u!

pera

Senior Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
148
Reaction score
16
niaje vijana wenzangu wa 'man sita' sory man u! naona leo mmepa mbabe!
 
thats why they call him super mario baloteliiiii
 
mambo yametokea si basi yametokea!! ya nini kuanza kuyafanya topic!! ngoja nimuite mod atembeze ban maana hamna ya kuongea!!
 
mambo yametokea si basi yametokea!! ya nini kuanza kuyafanya topic!! ngoja nimuite mod atembeze ban maana hamna ya kuongea!!
imekuuma weeeeh ndo hivyo kila nafsi itaonja mauti!
 
mimi jamani bado nasherehekea wakipigwa hivi kama mara tano klabu inasambaratika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom