Inshallah..Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu
Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
Yaani mkuu kwa ujinga huu wa hawa washikwa mackio na waarabu bora niabudu mbwa lkn c kuingia dini hyo mana niwanafiki sana mfyuuuuu!!!!!kila kitu dini yao ndo safi duniani kuna nchi hawajui kma kunaukristo au hlo lidin lao wanaabudu wanavyoviamini wao na mung wao,ujinga umewakaa kama dini ndo pepo!!!!!!mashetani roho mbaya!!!!Nimekupenda bure kaka yangu,hiyo picha ya chini kaipiga leo asubuhi akienda kanisani. Mimi nawaomba wachangie tu kistaarabu maana jana nilikuwa naangalia documentary ya wakimbizi wa Syria na Libya wanavyokufa baharini wakikimbilia kwenye nchi za wakristu Ulaya huku wakiziepuka nchi za Waislamu. Kwa kifupi siku natoka kwenye ukiristu basi bora nikaabudu hata punda. Kwa namna Man anavyoipenda dini yake nilifikia hatua nikawa na wasiwasi kama atakuwa na muda hata wa mazoezi.
Kuna jamaa zangu ni waislamu wazuri hila tunapiga nao myama Noah kila weekend nyinyi bakini na dini zenu vitu vitamu vinawapita [emoji241] [emoji241]Mimi navaa kanzu na kibalaghashia lakini sina mpango wa kuwa Muislamu.
ndio vazi la Yesu hilo !Haaaa kaz kweli kweli, mm Mkristo
Nina kanzu, Kofia, na Msuli. Pia navaa sana.
Vipi kuabudu kinyago cha mpapure yesu ? ndio mmefikiria mpaka mwisho ?Kupiga kichwa sakafuni kunamaliza uwezo wa kufikiri, hayo madesa anayapata wapi au wewe siyo boko haram?
Schwine ni kijerumani kikiimanisha nguruwe , kichwa nazi mkubwa!
Uislamu dini ya haki. Karibu achana na wala nguruwe hao makafiri watakupeleka jahannam. Allah atuepushe na huu moto. Ameeeen