Man Pacquiao ndani ya kanzu

Status
Not open for further replies.
Reference please.....
Jamaa ameokoka, yuko very deep, ukiona anaingia msikitini ujue anamleta Kristo kwenye jamii yenu. Hata Papa aliingia msikitini na viatu na mkampigia makofi.
HALELUYAAAA
 
Bora wewe naweza kukusikiliza.
 
kinachompeleka mtu peponi ni dini au matendo?
coz unaweza kuwa una swali sana lakini matendo ni sifuri kutwa kushinda kwa waganga na kufuga.
nikipi haswa kinachompeleka mtu pepo ni uislamu,ukristo au matendo?
Matendo ndugu
 
Kule kanda ya ziwa wakati wa harusi ama kuchumbia, wanaume huvaa kanzu na makoti. Nadhani huwa wana silimu kwa muda, ama vipi?
 
Hata TL siku moja moja anatupia kanzu, ila anakula nguruwe
 
nenda shule ww ni mbumbu! wewe hujui mtu mashuhuri kuingia kwa hiari yake bila kulazimishwa katika uislam kunawashawishi wengi kuufatilia na kuusoma kujua kuna nini huku mpaka huyu kujiunga? tofauti na kutumia ushawishi wa hela?
 
Kweli dini wendawazimu wananchi mnamgombania jamaa utadhan atawapeleka peponi
 
Imamu aiba nguruwe
  • Anaswa akimchinja makaburini, afikishwa kortini
KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba nguruwe.
Tukio hilo ni la kushangaza kwani kwa mujibu wa imani ya dini ya Kiislamu inakataza ufugaji na matumizi ya nguruwe.
Imamu huyo anayeheshimika sana wilayani Magu, alinaswa na ‘kitimoto’ hicho maeneo ya makaburini akiwa katika harakati za kumchuna baada ya kumchinja tayari kwa kitoweo.
Chanzo;Tanzania Daima
 
Story za msikitini hizo.
 
mimi huyo nibadili niwe muislamu? soma vizuri quruani halafu utajua dini ya kweli ni ipi
 
Huyu jamaa ni mlokole hiyo picha ni ya zamani akiwa bado hajaokoka..ukitembelea page zake hasa ya leo utakuta amepiga picha na family yake wakielekea kanisani
 
Reactions: nao
Huyu mtu ni mlokole zamani ndo alikua Roman Catholic jaribuni kufuatilia au kusoma page zake .
 
Labda tu tukuambie kua Manny si mromani ni mlokole,pia kuvaa kanzu sioni tatizo.
 


Nyie ndiyo mnasababisha watu wadharau Usilam kwa sababu mnauhusisha na uongo, ujinga na vitu vya kipuuzi. Badilikeni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…