Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Najua shule yangu huifikii, lakini nimesema kama ndio hivyo kwa nini msifanye kama nike au adidas au samsung muwalipe watu maarufu wawe wanavaa jezi au nembo yenye neno uislam ili wazidi kuutangaza?wewe hujui impact ya mtu maarufu katika jamii? hujiulizi kwa nini makampuni makubwa hutoa mabilioni kwa ajili yakutangaziwa biashara zao na watu maarufu? unadhani mangumbaru hawawaoni. rudi shule
Huo moto wa jehanam uko sehem gani. Basi kama ndio hivyo fanyeni kama heinken au samsung, changeni pesa mlipe watu maarufu wautangaze uislamWewe mwana mpotevu nani alikuambia usilamu unahitaji ushabiki. Hii ni dini ya facts sio ubabaishaji wenu wa kihafidhina. Kuna watu wakisilimu wanaupa uislam nguvu hata mtume katika dua zake alikua akiomba umar r.a asilimu. Tunafurahi yeye kuepushwa na moto wa jahannamu. Una swali lingine mwana mpotevu ???
BugaLile analovaa Padri au Mchungaji wa kilutheri Madhabauni linaitwaje?
Ni viazi zuri ukikaa linaingiza upepo ....!Haaaa kaz kweli kweli, mm Mkristo
Nina kanzu, Kofia, na Msuli. Pia navaa sana.
We c demu ulikuwa unatafuta mume au nimekosea
Utamadunihivi kanzu ni dini au utamaduni?
Acha upuuzi wako hata mimi nimetoka kanisani na kuvaa hilo kanzu,ingia kwenye page take fb leo akiwa na familia yake wakielekea kanisani.Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu
Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
Mi nakupa pole sana..zinduka. Uislam ndo dini ya haki hata Yesu alibashiri ujio wa Uislam sema tu wahuni waliibadilisha Injili wakaweka mambo wanayotaka wao kwa maslahi yaopole yake
Nimekupenda bure kaka yangu,hiyo picha ya chini kaipiga leo asubuhi akienda kanisani. Mimi nawaomba wachangie tu kistaarabu maana jana nilikuwa naangalia documentary ya wakimbizi wa Syria na Libya wanavyokufa baharini wakikimbilia kwenye nchi za wakristu Ulaya huku wakiziepuka nchi za Waislamu. Kwa kifupi siku natoka kwenye ukiristu basi bora nikaabudu hata punda. Kwa namna Man anavyoipenda dini yake nilifikia hatua nikawa na wasiwasi kama atakuwa na muda hata wa mazoezi.Kama hujui kitu ni bora unyamaze brother, kanzu ni vazi la Kiarabu na alivaa alipoenda Qatar mwaka jana,
Huyu jamaa ni mkristo safi sana na kumwacha Yesu ni ngumu, kama ilivyo jina lake "EMMANUEL"...
MFUATILIE ZAIDI HAPA OFFICIAL PAGE YAKE: Manny Pacquiao
View attachment 342062
Nimekumbana nayo asubuhi sana Leo katika ukurasa wake was FacebookHehehee. Hebu soma alichoandika leo
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1552715085032512&substory_index=0&id=1414171045553584
Uislamu dini ya haki. Karibu achana na wala nguruwe hao makafiri watakupeleka jahannam. Allah atuepushe na huu moto. Ameeeen
Yaan unauliza kama akina mama wanaeza swali na vimini auhivi kanzu ni dini au utamaduni?
View attachment 342073hii picha kaipost masaa saba yaliyopita akitoka kanisani na familia yake....sio kila unaemuona na kanzu ni muislam,lile ni vazi la staha tu na watu wengi wa imani zingine wanavaa
Mimi nakuambia acha kudaganya watu. Kama hiyo dini niyahaki basi Maalim Seifu angekuwa raisi Zanzibar ambako waislamu wezako (wanaosali dini ya haki) wamekatalia madarakani.Mi nakupa pole sana..zinduka. Uislam ndo dini ya haki hata Yesu alibashiri ujio wa Uislam sema tu wahuni waliibadilisha Injili wakaweka mambo wanayotaka wao kwa maslahi yao
Quran ipo moja tu na haibadiliki..lakini tazama bible..version kibaao na bado watu wanakaa vikao kuibadilisha.
Zinduka mkuu..tafakari sana juu ya hili.