Man is But a worm(Origin of Man)

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wadau hii imekaa aje? je wakubaliana nayo au ndo kufuru
Binadamu katokea kwenye Minyoo kuja mpaka kwenye sokwe hadi akawa kama alivyo
Picha imetoka kwenye Kitabu/makala ya mwana sayansi aonekanaye kwenye picha na madevu i.e Sir Charles Darwin

NB:Hii picha aisemi origin ya huyo




Kwa wale msiokubaliana na hii kufuru njoo na point za kudisprove
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…