Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

Zipo..!
Na wasanii wengine wapo piah..!
NYONGEZA(japo nimetoka nje ya mada): Huyo Man Fongo ni MCHUMBA tu kwenye game ya SINGELI..!
Mkuu ungetusaidia kuwafahamu hao wengine ili kujustify maneno ya manfongo.
To be honest, hiyo single yake ya shemeji tunakulaga ndio imenijulisha kuwa kuna mtindo unaitwa Sengeli.
 
Mkuu ungetusaidia kuwafahamu hao wengine ili kujustify maneno ya manfongo.
To be honest, hiyo single yake ya shemeji tunakulaga ndio imenijulisha kuwa kuna mtindo unaitwa Sengeli.
Sawa...
Hawa ni baadhi ya wasanii na nyimbo zao...
Shollo Mwamba;

  1. Mpolepole
  2. Sayona
  3. Panya
Dogo Nigga Simela;
  1. Kua uyaone
  2. Kimbaumbau
  3. Mida ya Kubet
S.Kide;
  1. Tatizo kwetu Mbagala
  2. Chizi wa Manzese
  3. Hapa kazi tu
Hao watu huyo Man Fongo HAGUSI..!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mziki wa singeli kama ugonjwa wa mafua tuu.
Wimbo msanii anatungia verse jukwaani nao utauita mziki.
 
Kwanza neno lililowafurahisha ni hainaga ushemeji sasa baadae sijui watatafuta msamiati gani?Hakuna muziki hapo ni makelele tu na huwa nashangaa sana wabongo kwa kushobokea mambo yasiyo na msingi
 
Yaani nimeanza kuusikia redio efm nikawa nauliza hii miziki waimbaa au wanaongea sikupata jibu kwa kweli singeli naaah!!!
 
Aaah wapi. Hizo nyimbo zitapigwa uswazi huko huko ndo zitakua maarufu. Mtu huwez kaa kny karioke unaimba eti hainaga ushemeji 2nakulaga. Miziki hiyo imelenga uswazi na majority ni wa2 wenye vipato vya chini. Michiriku ilkuwepo zamani lkn hukuti kny sherehe inayofanyika ukumbini wameeka mchiriku utakuta kny midundiko ndo wameeka michiriku. Na haifiki kokote hyo style ya mziki.
Mkuu umenikumbusha nyimbo ya celine dion to love you more iliyopigwa kwa karioke na mzee mmoja mtaalam sana sasa ndo najaribu kuvuta picha wamchukue huyo mzee ampigie karioke huyo manfongo aimbe hiyo hainaga ushemeji sijui kitapatikana kitu gani hapo
 
Hahaaaaa mkuu hiko kitakua kituko cha mwaka. Kwanza haiji
 
Mkuu umenikumbusha nyimbo ya celine dion to love you more iliyopigwa kwa karioke na mzee mmoja mtaalam sana sasa ndo najaribu kuvuta picha wamchukue huyo mzee ampigie karioke huyo manfongo aimbe hiyo hainaga ushemeji sijui kitapatikana kitu gani hapo
Kile chuma sijui kivimba macho khatari sana kile kilinung'unika mule huku kinatikisa kichwa ilikuwa burdan.
 
Waimbe vitu vya maana..
Hakunaga ushemeji ni nyimbo mbaya ina ujumbe mbaya sijui kwa nini haijafunhiwa na tcra..
Waliyoikuza ndio wa kulaumiwa, muimbaji mtamuonea bure, yeye aliilenga hadhira yake ya akina Kanga moko, Vigodoro na Wanaofanania huko...sasa nyie Wenzangu mie kujipeleka huko mmeyataka wenyewe.

Ni kamba ambavyo hamuwezi kuimba 'jua lile literemke mama' msibani, au 'parapanda litalia.....' harusini.
 
Huu mziki sijawahi kuulewa, nasikiaga makelele tu, pia hauna maadili kabisa. Matusi matupu. Ni muziki wa hovyo na ndio maana hata mashabiki wake watu fulani wa hovyo hovyo, wasiojielewa.

Mimi namshauri yeye ndio asijisahau akatumia vibaya hizo senti anazopata kwa sasa, asije akajuta kama wenzie waliotangulia. Maana hana muda mrefu atachokwa vibaya sana.

Tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom