Man Commits Suicide in Mall After Girlfriend Refuses to Stop Shopping

Man Commits Suicide in Mall After Girlfriend Refuses to Stop Shopping

Huyu naye ati watu wanasema RIP,
RIP mbingu siku hizi kama ni ya bure na mimi nijifyatue, mtu akiukata ndio imetoka hivo hata uimbe uchi au usinzie kwenye kaburi, akiukata tunasubiri tu udongo upate mchakato tupande mazao, hayo mengine cjui anaenda wapi kila mtu kaa na theory zako kichwani, hakuna aliyeprove
 
Bora niende alone kwenye shopping make huwa nazunguka kwenye maduka kama 10 hivi kulinganisha bei ndiposa niamue kununua. Nikiwa na BF nahisi atachukua maamuzi magumu kama ya huyu!!!
 
Hata usishangae, wanawake wa Kichina ni "pain in the @ss" asikwambie mtu...

Huwa wanawaendesha sana waume au boyfriends zao na hupenda sana kupayuka pindi wakikasirika...

Inavyoonekana huyu jamaa alichoka na Wachina wengi wakichoshwa na mapenzi huwa wanafana maamuzi magumu ikiwemo kujiua...

Nikiwa chuo nimeshawahi kuona "suicide case" moja lakini alikuwa ni mchina mwanamke aliyejiua kwa kukosana na boyfriend wake...
Pole yao!
Mpaka nijiue sijui huyo mwanaume amenifanya nini cha mno.
 
Back
Top Bottom