Man Commits Suicide in Mall After Girlfriend Refuses to Stop Shopping

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
195
A man who was fed up with his girlfriend's incessant Christmas shopping responded to her request for one more look around a mall shoe store by leaping seven floors to his death.
The 38-year-old, identified as Tao Hsiao, had been shopping with his girlfriend at the Golden Eagle International Shopping Center in Xuzhou, China, when she asked to check out one last shoe store.

Having been inside the mall for five hours, Tao had reached his limit, and reportedly insisted that they leave immediately.
"He told her she already had enough shoes, more shoes that she could wear in a lifetime and it was pointless buying any more," an eyewitness was quoted as saying. "She started shouting at him accusing him of being a skinflint and of spoiling Christmas, it was a really heated argument."
Surveillance footage shows Tao angrily hurling the shopping bags and jumping over the railing onto the cosmetics section below.
A spokesman for the shopping center says no one below was injured in December 7 incident, and that the man died instantly upon impact.
"This is a tragic incident, but this time of year can be very stressful for many people," the spokesman said.

Story kamili na picha fuata link hii hapa chini:

Man Commits Suicide in Mall After Girlfriend Refuses to Stop Shopping

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,694
2,000
he is fool and his body must burnt insteady of burried and his wife must not cry goddamn kweli mapenzi kizunguzungu..
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Ujinga,usikubali mtu akuingie akilini kiasi hcho,una'make headlines wkt ushaenda,kwel life is abt choices 38 yr old man alishindwa nini kusepa kiuzuri tu...
R.I.P lakini
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Ujinga,usikubali mtu akuingie akilini kiasi hcho,una'make headlines wkt ushaenda,kwel life is abt choices 38 yr old man alishindwa nini kusepa kiuzuri tu...
R.I.P lakini

Hapo kwenye umri nina wasiwasi nako,kweli hayo ni maamuzi ya mwanaume wa umri huo!!! Aende tu akapumzike kwa kweli maana inaelekea akili yake ilishaacha kufanya kazi kitambo.
 
Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,853
1,250
wengi huwa tunajiua bila kufa...haha.bahat yake mbaya kafa kabisa.mtu anataka kuhamishia viwanda nyumbani!!!
 
Ng'onyo

Senior Member
Sep 2, 2011
140
225
Ila sometimes huwa nasema kufanya shopping na mwanamke inahitaji moyo..huwa wana mambo mengi mnaweza kutumia siku nzima..cha msingi wanawake nanyi mjirekebishe.
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Shopping ht km mi ni gf wako ntapenda twende wote ili tuuze sura na tuzoeane in public places,bt ukiona sio ishu ishia,sitamind,na ht km nikimind tutayasolve tu,kaz gan kujiua
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,451
2,000
Hapo kwenye umri nina wasiwasi nako,kweli hayo ni maamuzi ya mwanaume wa umri huo!!! Aende tu akapumzike kwa kweli maana inaelekea akili yake ilishaacha kufanya kazi kitambo.

Hata usishangae, wanawake wa Kichina ni "pain in the @ss" asikwambie mtu...

Huwa wanawaendesha sana waume au boyfriends zao na hupenda sana kupayuka pindi wakikasirika...

Inavyoonekana huyu jamaa alichoka na Wachina wengi wakichoshwa na mapenzi huwa wanafana maamuzi magumu ikiwemo kujiua...

Nikiwa chuo nimeshawahi kuona "suicide case" moja lakini alikuwa ni mchina mwanamke aliyejiua kwa kukosana na boyfriend wake...
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
A man who was fed up with his girlfriend's incessant Christmas shopping responded to her request for one more look around a mall shoe store by leaping seven floors to his death.
The 38-year-old, identified as Tao Hsiao, had been shopping with his girlfriend at the Golden Eagle International Shopping Center in Xuzhou, China, when she asked to check out one last shoe store.

Having been inside the mall for five hours, Tao had reached his limit, and reportedly insisted that they leave immediately.
"He told her she already had enough shoes, more shoes that she could wear in a lifetime and it was pointless buying any more," an eyewitness was quoted as saying. "She started shouting at him accusing him of being a skinflint and of spoiling Christmas, it was a really heated argument."
Surveillance footage shows Tao angrily hurling the shopping bags and jumping over the railing onto the cosmetics section below.
A spokesman for the shopping center says no one below was injured in December 7 incident, and that the man died instantly upon impact.
"This is a tragic incident, but this time of year can be very stressful for many people," the spokesman said.

Story kamili na picha fuata link hii hapa chini:

Man Commits Suicide in Mall After Girlfriend Refuses to Stop Shopping

i bet they say he is also a chagga....
 
kipimo

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
828
0
Ujinga,usikubali mtu akuingie akilini kiasi hcho,una'make headlines wkt ushaenda,kwel life is abt choices 38 yr old man alishindwa nini kusepa kiuzuri tu...
R.I.P lakini

unapatikana wapi ww? umeongea ukweli ulivyo!
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,314
2,000
si ndio hapo. ubahili tu. kanikeraaa!

pair moja tu ya viatu.....yaani moja....ndio mtu ajiue......?........mi sijaelewa kabisa........kwani ingempunguzia nini huyo mwanaume........kama vipi dada akinunua viatu yeye anywe bia......simple.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom