Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Kompany nje, anaingia kolo toure. Mapema sana hii sua.
 
Dakika ya 20

Man City 0-1 Man Utd
 
Shitty looking zapped up!

Intoxicated by Wazza's goal.
 
Mashetani wekundu wanashambulia kama hawana akili nzuri, nawaombea dua mbaya wafungwe.
 
Man u wanashambulia kama nyuki, aguero anakosa hapa.
 
Dakika ya 25

Man City 0-1 Man Utd
 
Mpaka sasa mashetani ni mazuri zaidi ya site.
 
Man City wanashambuliwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…