utabiri wangu mancty 2 FCB
asante kwa maoni yako mkuu..Kama FCB watacheza zile one...two zao man City wanaweza poteza mechi kwa sababu itamsumbua sana toure ambaye ni key Player katika kuichezesha City ila kama watataka kutumia sana chenga basi waweza kuzidiwa kwa counter attack na City..in real sense game ngumu bt FCB watashinda
invert hilo tokeo mkuu japokuwa bench la city ndio la barca itashinda leo city..Lazima city akae leo.
Maana hawa FCB wamerudi kwenye kiwango chao sasa.Kile kipigo cha mwaka jana cha 7-0 nje ndani kutoka kwa wajerumani kimewajenga poooooa.
FT:Man city 1-3FCB.
Kama FCB watacheza zile one...two zao man City wanaweza poteza mechi kwa sababu itamsumbua sana toure ambaye ni key Player katika kuichezesha City ila kama watataka kutumia sana chenga basi waweza kuzidiwa kwa counter attack na City..in real sense game ngumu bt FCB watashinda
mkuu sijakusoma fresh
hahaaa maamuzi magumu sana mkuu