Man, 35, dies in maize plantation during drunk sex

Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
6,207
Points
2,000
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
6,207 2,000

Mwanaume wa miaka 35 amefariki dunia katika shamba la mahindi huko katika Jimbo la Kapseret lililopo Kaunti ya Uasin Gishu

Julius Bor akiwa na mpenzi wake Janet Misik Cheruto umri wa miaka 40, wameripotiwa kuwa walikuwa wakinywa pombe katika sehemu inayoitwa, Chepyakwai

Baada ya kuondoka eneo hilo wawili hao waliondoka na kukubaliana kwenda kufanya mapenzi katika shamba la mahindi lililopo jiranina eneo hilo

Inaelezwa kuwa Mwanaume huyo alianguka na kufariki wakati wa tendo hilo ndani ya shamba hilo


======

A 35-year-old man collapsed and died on Monday during a sexual escapade at a maize plantation in Kapsaret Constituency, Uasin Gishu County.

The deceased, Julius Bor, and his 40-year-old lover, Janet Misik Cheruto, are reported to have been drinking at a bar at Chepyakwai trading centre before they left together at around midnight.

According to a police report on the incident, the drunk lovers then got into a maize plantation where the deceased allegedly collapsed and died.

“On the way they entered into the maize plantation to have sex where the deceased fainted and the lady rushed to get him water to drink, where he found him still unconscious,” said police.

The woman reported the incident to the village elder, who then informed security officers at Kiambaa Police Station. The man’s body was found lying in the maize plantation with no physical injuries.

The body was moved to the Moi Teaching and Referral Hospital mortuary-Eldoret awaiting postmortem.

The Citizens
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,181
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,181 2,000
Alikosa nguvu za kumudu tendo kulingana na bia mingi ahah
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,181
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,181 2,000
Utakuwa ni heart attack ndiyo huwa inaua haraka sana. Kama mwanamuziki Papa Wemba ilimkuta ana perfom kwwnye stage.
Wazee wanafanya mambo ya vijana umri umeenda yafaa kupumzika na kufanya mazoezi mepesi
 

Forum statistics

Threads 1,326,747
Members 509,585
Posts 32,233,444
Top