watu wenye familia kubwa (wake wengi) na viunga vya minazi, wasio na elimu, conservatives, wanaovaa kanzu au misuli, wenye busha (busha sunna), wafuga majini, wanakaa kivulini na kutoa orders, n.k kifupi wanapatikana ukanda wa pwani na sehemu zilizokaliwa na utamaduni wa kiarabu zaidi.