Mamwimyi ni watu wa aina gani?

Mamwimyi ni watu wa aina gani?

Ni waislam, hupenda kuvaa kanzu na vibalagashia muda wote-Wabishi,wavivu,wasengenyaji n.k

In short wamepungua siku hizi na sio wengi kama zamani.

Currently mtu akikwambia wewe ni mwinyi/unapenda umwinyi basi jua anamaanisha unapenda ubwana, uvivu au kutuma-tuma wenzako bila sababu kuu(tabia halisi za mamwinyi)

*I didn't mean to tarnish anybody's belief...mnisamehe but huo ni ukweli!!
 
mamwinyi wanapatikana sana pwani ni wabinafsi na hawapendi mabadiliko na wengi hawana elimu.

Tehee ...tehee ...tihii..hii ! Wabara ni mabwe.ge sana, halafu wanajiona wame elimika na kustaarabika !
Wakinyaa....wanachamba na kartatasi, wanamadigirii lakini mungu wanamnunua dukani.
Hivi mtu akiandika barua kwa kiarabu au akijua kusoma maandishi ya kiarabu bado hajaelimika !?
Wee cha Bangi ?
 
mafuta ya tigo yana harufu kama mpira wa kiume?????
au ni tofauti maana si ajabu mtu akuombi tigo lakini anatafuna nje NATAKA NIJUE HIYO HAARUFU IKIEZEKANA NIAMBIE MAFUTA GANI MAARUFU ILI NIJUE HALUFU YAKE

mtu akirudi unamuwahi mikononi unanusa
We dada wewe pepo anakunyemelea,hembu mkemee upesi
 
Tehee ...tehee ...tihii..hii ! Wabara ni mabwe.ge sana, halafu wanajiona wame elimika na kustaarabika !
Wakinyaa....wanachamba na kartatasi, wanamadigirii lakini mungu wanamnunua dukani.
Hivi mtu akiandika barua kwa kiarabu au akijua kusoma maandishi ya kiarabu bado hajaelimika !?
Wee cha Bangi ?
Ungekaa kimya ingekuwa salama,yaani hapa ndio unatia aibu kabisaa na kufanya iwe kama ushuda
 
Ni waislam, hupenda kuvaa kanzu na vibalagashia muda wote-Wabishi,wavivu,wasengenyaji n.k

In short wamepungua siku hizi na sio wengi kama zamani.

Currently mtu akikwambia wewe ni mwinyi/unapenda umwinyi basi jua anamaanisha unapenda ubwana, uvivu au kutuma-tuma wenzako bila sababu kuu(tabia halisi za mamwinyi)

*I didn't mean to tarnish anybody's belief...mnisamehe but huo ni ukweli!!

Mamwinyi walikuwa ni Madalali wa watumwa wa Babu zenu kutoka bara ! Hakuna mpwani yeyote aliyewahi kukamatwa utumwa.
Mna chuki nao kwa udalali wa Babu zenu
Mwenye nguvu ndiye anayetuma watu, kama vile watumwa. Kwa hiyo Mamwinyi walimilki washenzi kutoka Bara kama majembe yao !
 
Tehee ...tehee ...tihii..hii ! Wabara ni mabwe.ge sana, halafu wanajiona wame elimika na kustaarabika !
Wakinyaa....wanachamba na kartatasi, wanamadigirii lakini mungu wanamnunua dukani.
Hivi mtu akiandika barua kwa kiarabu au akijua kusoma maandishi ya kiarabu bado hajaelimika !?
Wee cha Bangi ?

kama unabisha njoo ununio ushuhudie mamwinyi alafu watoto wao hawapendi kazi wanapenda vigodoro tu!
 
watu wenye familia kubwa (wake wengi) na viunga vya minazi, wasio na elimu, conservatives, wanaovaa kanzu au misuli, wenye busha (busha sunna), wafuga majini, wanakaa kivulini na kutoa orders, n.k kifupi wanapatikana ukanda wa pwani na sehemu zilizokaliwa na utamaduni wa kiarabu zaidi.

Sio siri wewe umevurugwa na ukavurugika!
 
mafuta ya tigo yana harufu kama mpira wa kiume?????
au ni tofauti maana si ajabu mtu akuombi tigo lakini anatafuna nje NATAKA NIJUE HIYO HAARUFU IKIEZEKANA NIAMBIE MAFUTA GANI MAARUFU ILI NIJUE HALUFU YAKE

mtu akirudi unamuwahi mikononi unanusa

Kumkamata mwanamme aliyetoka kuchepuka ni rahisi sana. Akiingia tu nyumbani atataka aende kukojoa chooni. mfuate huko huko halafu muambie atoe dushe lake. liminye pale mbele utaona maji maji meupe. hizo ni sperms ambazo zilibaki kwenye duct. labda aje home baada ya masaa manne baada ya tendo. lkn kama ni ndani ya masaa mawili urojo utakuwepo tu. kama katumia kondm ndio rahisi kabisa kwasababu ukifanya na kondom lzm urojo usiishe. hata akienda kukojoa mkojo wa kawaida.
 
kama unabisha njoo ununio ushuhudie mamwinyi alafu watoto wao hawapendi kazi wanapenda vigodoro tu!

Hakuna Mamwinyi huko Ununio !
Mamwinyi walikuwa Madalali wa kuuza watumwa kwa Waarabu, hivyo walikuwa na uwezo na wanaheshimika, labda kama inakuuma kwa kuwa huenda waliwahi kumuuza Babayako mkubwa !
 
mafuta ya tigo yana harufu kama mpira wa kiume?????
au ni tofauti maana si ajabu mtu akuombi tigo lakini anatafuna nje NATAKA NIJUE HIYO HAARUFU IKIEZEKANA NIAMBIE MAFUTA GANI MAARUFU ILI NIJUE HALUFU YAKE

mtu akirudi unamuwahi mikononi unanusa

Kwa mwanamme ukitaka kuchepuka bila mama kustuka fanya hivi. Lala nyumbani amka saa kumi usiku singizia unawahi foleni. nenda kwa mchepuko wako. fanya zinnaa mpaka saa tatu
hata ukiondoka na perfume ya mchepuko no sweat. nenda kazini saa kumi wahi nyumbani hata bia usinywe. kunywa chai na waifu. yaani huwezi kustukiwa. lkn uukitoka kazini upitie bar then gesti na mchepuko then home. utakamatwa kabla ya arobaini
 
sasa umenimba mbinu nitakua NAAMKA NAE NAENDA KUKESHA NAE OFAIN KWAKE MPAKA KUKUCHE
 
jaribu kufanya kautafiti kadogo tu fremu nyingi za biashara mapinga zimekodishwa halafu hazifunguliwi ukiuliza, mamwinyi
 
sasa umenimba mbinu nitakua NAAMKA NAE NAENDA KUKESHA NAE OFAIN KWAKE MPAKA KUKUCHE

Labda masikini wa watu hiyo mbinu haijui. Kuna wale wanaokwenda mchepuko waqt wa lunchi. saa tisa wanarudi ofisini kuchukua laptop na kuwahi nyumbani. wengine wanampitia mama kazini kabisa kumbe ni mafisi.
 
aisee kuolewa ni kazi sana
 
Kimtaani mamwinyi n watu wavivu sana wabinafs wanapenda kila kitu wafanyiwe tu
 
Mara nyingi hutumika kwa wazee wa pwani....

Enzi hizo walikuwa wanamiliki viunga vikubwa vya nazi na wake kadhaa...

Kazi yao kucheza bao tu nazi zinajilipa tu anahangua anajaza jahazi anachukua chake taratiiiiiiibuuuu
 
Mwinyi ni ukoo,
I.e. Ally Hassan Mwinyi.

Ma-Mwinyi ni Plural ya Mwinyi!
 
Yapo mlochangia yakweli ila niwazee ambao wanapenda kucheza bao, hawapendi kujiangaisha kutafuta pesa kwani tiyari wanamiliki nyumba mijini na nyumba hzo ndo mwaishi na kuwalipa kodi, Wapo kila mikoa kikubwa usiwaige utakufa njaa na so kuwa wabnafsi
 
Back
Top Bottom