Mamneno yepi ya kutongozea baada ya kujulia hali ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mamneno yepi ya kutongozea baada ya kujulia hali ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babylon, Mar 5, 2012.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa muda mrefu limekuwa linanipa tabu swali hili naomba msada wenu .
   
 2. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tafuta pesa wewe acha ujinga wa kutafuta maneno! Mwanamke wa maneno labda ukakamate binam zako kwenu huko!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Eeeeeh bwana eeeh, hivi bado kuna kutongozana? upo age ya dot com kijana, mambo ya kumwaga sera yamepitwa na wakati.

  Unamwambia tu, nimekuusudu nipe "mchezo".
   
 4. S

  SI unit JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ushauri mzuri.
  ...
  Maneno ni pesa sio blah blah na uongo usio na maana.
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kamnunulie ua jekundu umpelekee zawadi, atakuelewa.
   
 6. h

  hayaka JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  una umri gani?
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sifia anza macho mpaa masikio, afu unaeleka kwenye sura bada ya hapo unaelekea kwenye figa, na kama ikiwezekana toa na sifa kwa mavazi yak, viatu, mobile fone yake, yani we tafuta kila kitu usifie.


  Afu njoo uniambie, mwanamke usimtukane dogo hao malaika wa dunia, mwanamke mpe misifa tu uone dunia inavyo enda.


  All the best, dogo :poa
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hiyo style ya kizamani mkuu
   
 9. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hv we hujajua kuwa mwanamke huvutiwa na maneno zaidi ya pesa na hizo hela ni access ya wewe unayetaka kuitwa Atm
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mtakalia ya kizamani wenzenu tunatafuna vi babe shauri lenu, nyie kalieni na style zakisasa kama hamjaishia kula kwa macho:biggrin:
   
 11. Steang

  Steang JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nunua chup ya guchi,alaf katkat ina kitobo,mwenyewe atakuambia twende geto,hapo ushindwe wewe2.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tafuta hela,pesa uchawi wa kizungu!!!
  Utakua unatongozwa wewe sasa!
   
 13. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mwambie"oyaaa mi ndo nshakuzimia km vipi sogeza nichape,usimind bebi au vp" subir jibu hapo:wink2:
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mwambie ana shingo ya upanga na macho ya gololi.
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Rafiki , be calm ! Ushauri wangu wa bure , punguza ukali wa maneno ni member mwenzio huyu ! Mbona katoa hoja ya kawaida tu !
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nenda straight mwaya mwambie...'dada/asha/rose au jina lake...nimekupenda na ningependa tuwe wote maishani' kwa tone ya upole ila iko firm....mwenyewe ataingia line....all the best.
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mwambie unataka kukutanisha makojoleo yenu.
  MP.
   
 18. m

  mtukwao2 Senior Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaweza kuendelea kwa maneno kama: Samahani dada nilikuwa na shida na kikojoleo chako kama hutajali tafadhali.
   
 19. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haha!Dogo kaa ukijua wanawake hawana formula!Yeyote utakayotunga wewe anaweza nasa!Soma mood kwanza,sio jua kali unaomba kumnunulia chai!
  Ni PM nikutumie e-book itakayokusaidia kuwazoa,if you are 'that' desperate to know.
   
 20. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maproso na mtukwao mnatisha
   
Loading...