duh... Aiseee.... Kumbe ningekupoteza hivihivi kamanda wangu, pole sana
. . . .Ndipo nilipotambua kuwa bado siku yangu haikupangwa iwe that day. Pamoja sana mkuu!
mshukuru Mungu kwakuendelea kuupigania uhai wako dhidi ya magamba watoa roho
kwangu keko ndio hapa
Rudi kitandani hapa fasta kwa ajili ya morning glory, unawahije kuamka na kuniacha alone?
Rudi kitandani hapa fasta kwa ajili ya morning glory, unawahije kuamka na kuniacha alone?
. . . . . Unatamani bomu la kurushiwa wewe!
oops..!
Nini!!? ulidhani niko usingizini!??
Mpotezee huyo mzee ngoja nimwandalie mazingira ya BAN au SMG atutoke aka-RIP.
Passion Lady mjengo tayari umeisha na tayari Chimbuvu ameweka faniture zote mlete shemeji yangu Ruttashobolwa tuamie, muache kulipa kodi uswazi
​heeeee????na huyu?me mzima kabisa mpenz, angalia yasije yakakulipukia
Ile siku wanalipua hakika ni MUNGU tu kwani nilipotoa mguu ndipo lilipoanguakia na waliofariki nilikuwa nao awali. Napanga tu siku nikatoe sadaka.