Hata vijana wenyewe wawe wamepinda kama yule baunsa
au yule bi mdogo anayetembea bila nguo daaah hakufai
Ujue huyu yuko kimwili na The secretary, kifeza na mandenyi, ila kiroho na kimapenzi yuko kwa Konnie
Ndio maana unaona namjazia mabwana barazani na bado hakomi kunipigia magoti
kwani haujamkagua huyu.
nando ndo nani? au ulimaanisha nandos kwenye mapochopocho ya vyuku?
Kongosho una akili sana wewe.Ujue huyu yuko kimwili na The secretary, kifeza na mandenyi, ila kiroho na kimapenzi yuko kwa Konnie
Ndio maana unaona namjazia mabwana barazani na bado hakomi kunipigia magoti