Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,656
- 14,615
Haa nyie mnanikumbusha miswaki 'used'
sasa mkuu kwani ulitaka wapitishwe wote?? nini maana ya kura za maoni??
Usaliti ni laanaVipi hawakutoa rushwa? Au walizidiwa?
mbona waliposaliti hawakupigiwa kura za maoni ?sasa mkuu kwani ulitaka wapitishwe wote?? nini maana ya kura za maoni??
Ni kama vile kondomu tu,kabla ya kuitumia inakuwa na thamani kubwa na unaihifadhi vizuri,lakini ukishaitumia unaishika kwa kinyaa kuwahi kuitumbukiza chooni. Hivyo wasaliti woote wanapostahili kuwa ni chooni tu na siyo chumbani tena.Ukitazama kwa jicho la tatu ni kwamba thamani yao ndani ya CCM ilikuwa kubwa kipindi kile cha kuunga mkono juhudi.
WanaCCM kinda kinda ndani wakiwapokea kwa mbwe mbwe nyingi kipindi kile sasa baada ya kutumika wanawaona hawana thamani hata chembe.
Nawaonea huruma sana Mollel,na wapinzani wote waliokimbilia CCM kwasababu upo uwezekano mkubwa wakatupwa nje wakati wa uchaguzi Mkuu mwaka 2020
Muda ni msalimie mzuri sana
👍Ni kama vile kondomu tu,kabla ya kuitumia inakuwa na thamani kubwa na unaihifadhi vizuri,lakini ukishaitumia unaishika kwa kinyaa kuwahi kuitumbukiza chooni. Hivyo wasaliti woote wanapostahili kuwa ni chooni tu na siyo chumbani tena.