G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,593
- 36,011
Ikiwa imebaki siku mbili makamanda tutue rasmi Dodoma kwa maandalizi kabambe ya kuanzisha "Dodoma Movement for Democracy in Tanzania" tumepata taarifa za uhakika kuwa wapo mamluki wa UVCCM waliotumwa na baadhi ya vigogo ndani ya CCM kwa lengo la kutimiza azima yao ya kuuvuruga mkutano mkuu wa CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Sisi tunawataadharisha kuwa msithubutu kufanya hivyo maana tutaanza kwanza kuwadhibiti nyinyi ndipo tusonge mbele kutekeleza azimio letu la kuilinda na kuidumisha demokrasia.
Tunaomba hao mamluki watuelewe kuwa lengo lao kamwe halishahabiani na letu, sisi tuna nia yetu na wao wana nia yao. Wao