Mamluki wa UVCCM wajipenyeza BAVICHA ili kuongeza nguvu kuuvuruga mkutano mkuu wa CCM Dodoma

Ikiwa imebaki siku mbili makamanda tutue rasmi Dodoma kwa maandalizi kabambe ya kuanzisha "Dodoma Movement for Democracy in Tanzania" tumepata taarifa za uhakika kuwa wapo mamluki wa UVCCM waliotumwa na baadhi ya vigogo ndani ya CCM kwa lengo la kutimiza azima yao ya kuuvuruga mkutano mkuu wa CCM kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

Sisi tunawataadharisha kuwa msithubutu kufanya hivyo maana tutaanza kwanza kuwadhibiti nyinyi ndipo tusonge mbele kutekeleza azimio letu la kuilinda na kuidumisha demokrasia.

Tunaomba hao mamluki watuelewe kuwa lengo lao kamwe halishahabiani na letu, sisi tuna nia yetu na wao wana nia yao. Wao
RED BRIGADE fanyeni kazi yenu. Wadhibitini hao mamluki kwa ufundi mlionao. Msiwaache. Wachukulieni hatua yoyote.
 
RED BRIGADE fanyeni kazi yenu. Wadhibitini hao mamluki kwa ufundi mlionao. Msiwaache. Wachukulieni hatua yoyote.
Lizaboni ndiye kapewa majukumu ya kuwakusanya wenzake hakija hapa jukwaani anasema anapenda magu.jana walikuwa na kikao cha siri na kiongozi katibu hawapendi magu.

swissme
 
Mkuu, hawa BAVICHA akili zao zimeshikiwa na Mbowe. Hapo walipo ni kama misukule vile. Mbowe ameshawaambia wasiende Dodoma sasa sijui hicho kiburi wanakipata wapi. Subiri watandikwe na Polisi na safari hii wasilalamike tena kwa maana ukiwa kiburi, uwe tayari na matokeo yake
Misukule si ingefuata ya bosi wao mbona unajichanganya
 
Mkuu, hawa BAVICHA akili zao zimeshikiwa na Mbowe. Hapo walipo ni kama misukule vile. Mbowe ameshawaambia wasiende Dodoma sasa sijui hicho kiburi wanakipata wapi. Subiri watandikwe na Polisi na safari hii wasilalamike tena kwa maana ukiwa kiburi, uwe tayari na matokeo yake
Ndoto za alinacha Lizabon
 
Wewe umesema wao ni misukule wameshikiwa akili na Mbowe. Sasa inakuwaje tena wakiuke kauli ya aliyeshikilia akili zao. Nina madhara na akili zako wewe; inawezekana za kwako ndizo zilixoshikiliwa na hao unaowatumikia
 
Back
Top Bottom