Kabisa Mkuu.. Hatuwezi kuishi na haya majangili yaliyojificha kama Chama cha Siasa.Muhimu CCM ife
CCM mna hali ngumu sana, sio kwa povu lote hili.soma charge sheet, makosa hayo aliyafanay August, 2020, jalada lake lilihifadhiwa tu wakijaribu kumstahi, alipoanza kuleta ujinga ndio wakaamua wamwage mboga. wewe ukijiona una matobo matobo usianzishe ugomvi....
Tuna hali mbaya kwani ndio tupo segerea? we vipi.MaCCM mna hali ngumu sana, sio kwa povu lote hili..
MATAGA muendelee kutegemea kubebwa na vyombo vya usalama hivi hivi mpaka kiama.
Ukweli ni kua hakuna uchaguzi ulio huru mtashinda.
Ni magaidi fulaniKabisa Mkuu..
Hatuwezi kuishi na haya majangili yaliyojificha kama Chama cha Siasa.
Umekurupuka kutokea wapi mkuu? Kwani unayasoma wapi hayo ya charge sheet ulioandika?soma charge sheet, makosa hayo aliyafanay August, 2020, jalada lake lilihifadhiwa tu wakijaribu kumstahi, alipoanza kuleta ujinga ndio wakaamua wamwage mboga. wewe ukijiona una matobo matobo usianzishe ugomvi...
Ni vizuri wakajua ana mitano mingine ili wazowee kabisa.MATAGA kila siku wanamuwaza Mbowe,japokuwa wamemuweka jela lakini bado hawajaridhika!!
Kamwulize Gwajima kama hatamani hata kuwa japo Segerea.tuna hali mbaya kwani ndio tupo segerea? we vipi.
Kwasababu gani aisee, wakati bado anakula masurufu ya ubunge na sadaka ziko palepale. uhakika hadi 2025. ndo unamlinganisha na DJ wa kule segerea?Kamwulize Gwajima kama hatamani hata kuwa japo Segerea.
Kama huna charge sheet ya mbowe aliyosomewa kisutu sema nikurushie. wenzio wameshaelewa nilichomaanisha.Umekurupuka kutokea wapi mkuu? Kwani unayasoma wapi hayo ya charge sheet na hata huo utopolo mwingine ulioandika?
Au wewe ndiyo hiyo unayecheka na mic hapo?
kama huna charge sheet ya mbowe aliyosomewa kisutu sema nikurushie. wenzio wameshaelewa nilichomaanisha.
kwasababu gani aisee, wakati bado anakula masurufu ya ubunge na sadaka ziko palepale. uhakika hadi 2025. ndo unamlinganisha na DJ wa kule segerea?
CCM mna hali ngumu sana, sio kwa povu lote hili.
MATAGA muendelee kutegemea kubebwa na vyombo vya usalama hivi hivi mpaka kiama.
Ukweli ni kua hakuna uchaguzi ulio huru mtashinda.
Ccm wanavyowalilia police utafikili ni watoto wadogo ambao wamenyimwa kunyonya,
Tukiwagusha kidogo, utacheka wanavyoanza tafuta no ya IGP kwenye sim zao kumpigia,na wakisha ambiwa hamna shida Basi utawasikia chadema imekufa, huku wakisubili shoo ya police na Chadema
Sasa mmembambikia kesi ya UGAIDI mwenyekiti subilini tu, ASEMA bwana
Soma charge sheet, makosa hayo aliyafanay August, 2020, jalada lake lilihifadhiwa tu wakijaribu kumstahi, alipoanza kuleta ujinga ndio wakaamua wamwage mboga.
Wewe ukijiona una matobo matobo usianzishe ugomvi. na hii kitu nakumbuka kweli kabla ya uchaguzi mwaka jana morogoro au pwani kuna sheli ililipuliwa, na yeye kumbe ndio alikuwa anafadhili? Inawezekana alikuwa amepitiliza mstari kwa mikakati yake na lisu kwamba wafanya kitu kitakachosababisha fujo ili wagawane madaraka kama kenya au ili CCM ife baada ya watanzania kuchinjana.
Kwa kweli kama siasa ndio hiyo, bora nisiwe mwanasiasa, kwamba unaweza kuwa tayari kumwaga damu ili tu upoke madaraka? shida aliamini Rais ni mwanamke hatamfanya kitu, na alifikiri wanamuogopa na kwamba wamarekani wangemsaidia.
Bado unaamini huu utoto kuna mtu ananunua zama hizi za kidigitali? Ww inaonekana ni mzee, au wale vijana maboya wanaovaa suruali zinazoingia subiyani, ndio maana unaamini hizi propaganda mfu zinaweza kuteka mtu. Ingekuwa ni kwenye mikutano ya wazi tena huko vijijini, ndio ungeweza kupata wajinga wawili watatu kwa kuamini huu upuuzi wako. Lakini sio huku mitandaoni kulikojaa vijana wanaojitambua. Kwa Uduni huu wa uelewa ndio maana unaona ccm wakitegemea wizi wa kura tu, maana hamna ushawishi tena kwa umma zaidi ya utoto.