Mamlaka ziwe makini zinapotoa leseni za udereva

Kama ambavyo Paulo aliandika Waraka kwa Wakorintho, ndivyo ambavyo nami natuma salamu kwako mkorinto

Umejipachika jina hilo na una tabia za kike kike kama ambavyo Wakorintho walikuwa wakiamini mungu mwanamke.

Nilidhani ili kuishibisha andiko lako kuwa na mantiki, ungeweka jina la Dereva na uthibitishe kwamba ni shabiki wa Simba. Ila umejaa porojo ka shoga asiye na soko, umebaki na dhania tu.

Smart gin ni nini?
kasome taratibu za hii platform kwanza halafu ujitafakari,hairuhusiwi kuanika utambukishio wa mtu bila ridha yake.

mambo ya kike kike ni haya ya kuchukulia kila kitu jumla jumla,wewe umeona gari lina stiker za yanga,umeshahitimisha mwenye gari ni shabiki wa yanga,dereva ni shabiki wa yanga,abiria ni watu wa yanga.
acha akili yako iingize hewa hata kidogo tu utaoana faida zake.
 
You have nothing to tell me based on JF regulations and compliance.

Nimekuita kwa jina lako unalolitumia, Mkorinto. Sijakuanika kwa vyovyote.

Labda kwa utambulisho wako wa kuwa Shoga, hilo labda ndiyo nimekuanika hadharani.
 
Jenga hoja kwa mantiki. Anachosema ni kwamba, huyo dereva hawakilishi Yanga wote, which is true.
Soma hoja na uelewe.

Bus limepigwa Stickers za Yanga. Kutumika kwa nembo za klabu ni udhihirisho kuwa kuna mkono wa Yanga. Wanaenda kwenye kushangilia wachezaji wa Yanga.

Unajua matumizi ya nembo ya taasisi? Unajua maana ya mashabiki? Unajua hao waliomo humo wapo wanachama wa Yanga?

Kajitawaze.
 
asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi.

Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva.

Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana

Nimeweka na kavideo kusindikiza

Uzi huu

Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper

Ova

View attachment 2749932
Daah huyo simbilisi wa coaster ashukuru hilo bumps na busara za huyo mwamba mwenye subaru nyeusi laasi hivyo tungesikia chuma imekula chuma mwenzake aisee 🫢 😮
 
Soma hoja na uelewe.

Bus limepigwa Stickers za Yanga. Kutumika kwa nembo za klabu ni udhihirisho kuwa kuna mkono wa Yanga. Wanaenda kwenye kushangilia wachezaji wa Yanga.

Unajua matumizi ya nembo ya taasisi? Unajua maana ya mashabiki? Unajua hao waliomo humo wapo wanachama wa Yanga?

Kajitawaze.
Mfano tuseme wewe ni Yanga , mfano tu. Kwahiyo na wewe una akili kama za huyo dereva?
 
Ziko sawa ila mwafrica akishakaa kwenye usukani,anageuka kuwa chizi
 
asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi.

Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva.

Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana

Nimeweka na kavideo kusindikiza

Uzi huu

Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper

Ova

View attachment 2749932
Ukiona mtawala anajitia kuliridhisha kufurahisha kila mtu fahamu mtawala huyo ni mbaya kuliko nyoka
 
You have nothing to tell me based on JF regulations and compliance.

Nimekuita kwa jina lako unalolitumia, Mkorinto. Sijakuanika kwa vyovyote.

Labda kwa utambulisho wako wa kuwa Shoga, hilo labda ndiyo nimekuanika hadharani.
mbona baba yako unamwacha wakati mnakazwa na jama mmoja wote!!!
 
You have nothing to tell me based on JF regulations and compliance.

Nimekuita kwa jina lako unalolitumia, Mkorinto. Sijakuanika kwa vyovyote.

Labda kwa utambulisho wako wa kuwa Shoga, hilo labda ndiyo nimekuanika hadharani.
Idiot,
Unawaza kutukana wenzako tuu...
Wanajamvi msameheni huyu juha , hapa mtaani kazi kulewa ulanzi, tunakaokota kwenye makaravati.
 
Wengine leseni za kunjunga, ujanja ujanja anapata leseni wakati hawajui chochote kuhusu sheria
 
Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.

Unawaza kujinyea nyea tu, marinda huna!?

Nimesema ndiyo YANGA wenye akili ni wawili. Dereva kufanya alichokifanya ni upumbavu na kukosa akili.

Na huyo dereva ni shabiki wa Yanga. Na waliomo humo ni Mashabiki wa Utopolo.
Acha kutukana wewe,
Halafu tabia yako ya kuiba kuku itakuja kukuua, mi nakushauri acha ulevi.
 
Back
Top Bottom