Mamlaka ziwe makini zinapotoa leseni za udereva

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,751
Reaction score
131,902
asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi.

Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva.

Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana

Nimeweka na kavideo kusindikiza

Uzi huu

Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper

Ova

Unafikri Manara aliposema Yanga wenye akili ni wawili tu alikosea? Alikuwa sahihi kabisa.

Dereva mwenye akili hawezi kuovertake kipumbavu hivyo.

Kuqnzia dereva mpaka waliomo humo ni Mazuzu. Mashabiki na viongozi wote wa Yanga hawana akili.

Ova 🤣
 
asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi
Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva
Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana

Nimeweka na kavideo kusindikiza
Uzi huu

Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper

OvaView attachment 2749932
Aisee nafikiri sasa iwe dereva kama huyo anafunguliwa kesi ya mauwaji kabisa

Anakula mvua za kutosha
Kwa kweli nchi nyingi bado zinaona makosa ya madereva inahesabika kama ajali lakini nchi zlizoendelea wameanza kuwaadhibu vilivyo

Makosa kama haya ni kubeba license mazima

Duu
 
Unafikri Manara aliposema Yanga wenye akili ni wawili tu alikosea? Alikuwa sahihi kabisa.

Dereva mwenye akili hawezi kuovertake kipumbavu hivyo.

Kuqnzia dereva mpaka waliomo humo ni Mazuzu. Mashabiki na viongozi wote wa Yanga hawana akili.

Ova
mada iko serious uzembe wa madereva wewe umekomaa na Yanga,kwahiyo mpuuzi yeyote hata akijinyea amevaa jezi ya simba basi simba wote huwa mnajinyea!!!!!
 
Aisee nafikiri sasa iwe dereva kama huyo anafunguliwa kesi ya mauwaji kabisa

Anakula mvua za kutosha
Kwa kweli nchi nyingi bado zinaona makosa ya madereva inahesabika kama ajali lakini nchi zlizoendelea wameanza kuwaadhibu vilivyo

Makosa kama haya ni kubeba license mazima

Duu
Madereva wengi wana matatizo ya akili hawafai kutumia chombo cha moto kabisa huko barabarani

Ova
 
mada iko serious uzembe wa madereva wewe umekomaa na Yanga,kwahiyo mpuuzi yeyote hata akijinyea amevaa jezi ya simba basi simba wote huwa mnajinyea!!!!!
Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.

Unawaza kujinyea nyea tu, marinda huna!?

Nimesema ndiyo YANGA wenye akili ni wawili. Dereva kufanya alichokifanya ni upumbavu na kukosa akili.

Na huyo dereva ni shabiki wa Yanga. Na waliomo humo ni Mashabiki wa Utopolo.
 
kama hapa ni kwa wakubwa basi acha mambo ya msingi yajadiliwe kwa upana,mimba yako na yanga hapa sio sehemu yake ya kutolea malalamiko,peleka kwenye vijiwe vya boda boda wenzako huko.

ukiletewa jina la usajiri la mwenye gari na ukagundua dereva ni shabiki wa simba lia lia utakubali!!!

smart gin zinawaharibu sana madunduga fc.
 
.........Aliyekwambia gari za kukodishwa zote zinaendeshwa na mashabiki wa Yanga ni nani?

Usiwe unaacha akili nyumbani.
 
asilimia kuɓwa ya wanaondesha magari akili zao haziko sawa na inawezekana kuna machizi.

Ndomana ajali nyingi zinatokea,ushauri tu inabidi mamlaka husika wanaotoa leseni wawe wana wapima akili pia madereva au wanaotaka leseni za udereva.

Watumiaji vyombo vya moto waendawazimu ni wengi sana

Nimeweka na kavideo kusindikiza

Uzi huu

Ova
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Black Sniper

Ova

View attachment 2749932
Brother ishu ya leseni wee acha tu kama kuna kitengo kinakiuka taratibu za utoaji leseni basi hicho kitengo kinaongoza kwa kutoa leseni kwa watu wasio sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hapa ni kwa wakubwa basi acha mambo ya msingi yajadiliwe kwa upana,mimba yako na yanga hapa sio sehemu yake ya kutolea malalamiko,peleka kwenye vijiwe vya boda boda wenzako huko.

ukiletewa jina la usajiri la mwenye gari na ukagundua dereva ni shabiki wa simba lia lia utakubali!!!

smart gin zinawaharibu sana madunduga fc.
Kama ambavyo Paulo aliandika Waraka kwa Wakorintho, ndivyo ambavyo nami natuma salamu kwako mkorinto

Umejipachika jina hilo na una tabia za kike kike kama ambavyo Wakorintho walikuwa wakiamini mungu mwanamke.

Nilidhani ili kuishibisha andiko lako kuwa na mantiki, ungeweka jina la Dereva na uthibitishe kwamba ni shabiki wa Simba. Ila umejaa porojo ka shoga asiye na soko, umebaki na dhania tu.

Smart gin ni nini?
 
Akili yako finyu usilete kwa Wakubwa.

Unawaza kujinyea nyea tu, marinda huna!?

Nimesema ndiyo YANGA wenye akili ni wawili. Dereva kufanya alichokifanya ni upumbavu na kukosa akili.

Na huyo dereva ni shabiki wa Yanga. Na waliomo humo ni Mashabiki wa Utopolo.
Jenga hoja kwa mantiki. Anachosema ni kwamba, huyo dereva hawakilishi Yanga wote, which is true.
 
Back
Top Bottom