wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
Baada ya jana Jumapili kupata ajali basi lake moja. Leo Jumatatu gari lake jingine limemgonga mwanajeshi Makambako. Chanzo cha ajali ni mwendokasi na overtaking ya ovyo Kwa dereva wa kampuni hiyo.
Tukumbuke hii gari Ndio ilipata ajali mwezi wa sita maeneo ya Mlandizi kwa dereva huyo kugonga lori
Mamlaka zimegoma kuifungia na kuwafutia leseni madereva wa kampuni hiyo.
Pia, soma=> Basi 38 za new force zapigwa stop na LATRA