Iko wazi hilo suala linaitwa Judicial Review...Tanzania limetokea Mara kadhaa!!Kwenye kesi ya Shekhe Abdullah V Regional Police commander and other..Jamaa alipelekwa kizuizini Zanzibar,Mahakama ilisema kuwa Rais alikiuka sheria kwa kumpeleka kizuizini Zanzibar.Kesi nyingine ni ya James Gwagilo V Attorney General,jamaa alifukuzwa kazi na Rais,mahakama ikasema kuwa katika kumuondoa kazini lazima hatua zote za kisheria zifuatwe