Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
KATIBU MKUU DR Vincent Mashinji LEO ATAPATA DHAMANA AU MAMLAKA YA JUU ITAZUIA TENA?
Jana,Katibu Mkuu wa CHADEMA Vincent Mashinji katika hali ya kustaajabisha alinyimwa dhamana kwa madai kuwa kuna maagizo kutoka juu kwamba asipewe dhamana.
Hakimu alipoona taaluma yake inakanyagwa aliamua kutokomea kwenda kusikojulikana hadi muda wa kazi ulipokwisha.
Baadae ilibainika kwamba Hakimu aliondoka kwa kuhofia kuidhalilisha taaluma yake.Alikwisha kuwaambia kwamba dhamana iko wazi iweje tena azuie kwa mamlaka kutoka juu?
Akaamua kutokomea kusikojulikana
Chanzo cha habari hii kinasema kwamba inawezekana Leo wakapewa dhamana wote lakini Dr Mashinji atakamatwa tena peke yake na kurudishwa rumande kwa makosa mengine.lengo kuu likiwa ni kuwatoa wale watuhumiwa wengine na kumwacha yeye...
Tunasubiri kuona Leo mamlaka ya juu itatoa agizo gani kuhusu katibu wetu
AMA KWELI MAMLAKA YA JUU HAITAKUJA KUMWACHA MTU SALAMA.
SHARE UJUMBE HUU KWA KADRI UNAVYOWEZA ILI DUNIA IJUE UKANDAMIJAZI HUU
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app