Mamlaka ya DNA yahusiwa kutoa majibu ya ukweli

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
854
1,896
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watumishi wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa Waadilifu na utendaji wa haki katika kuwahudumia Wananchi wanaofika katika Mamlaka hiyo hususani wanaofika kupata huduma za kupima vinasaba (DNA).

Waziri Ummy amesema hayo, wakati alipofanya ziara ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali na kuongea na Watumishi katika Ofisi hizo zilizopo Jijini Dodoma.

Waziri Ummy amenukuliwa akisema “Kazi yenu hii inauhusiano wa karibu na mambo ya kutenda haki, na Mimi kwasababu ni Mwanamke, kwahiyo katika suala la kuchunguza uhalali wa Baba wa Mtoto ni yupi napenda sana tuwe Waadilifu ili kutenda haki ya kweli bila kuonea yoyote”
 
Hizo story tu, walishaamua kutoa majibu ya uwongo na hawabadili msimamo, Wana sababu zao...kulinda umalaya wa wanawake
 
Ila uwongo unaweza kutumia ili kunusuru maisha ya mtoto.
Siyo kunusuru maisha ya mtoto Bali kufuga umalaya wa wanawake,serikali imekua ikifanya mambo ya kulea udhaifu wa wanawake ikiwemo kugawana Mali sawa kwa sawa kwa wanandoa
 
Hizo story tu,walishaamua kutoa majibu ya uwongo na hawabadili msimamo,Wana sababu zao...kulinda umalaya wa wanawake
Ukifuatilia kujua group la damu unaweza ukawaumbua kweupeee mchana.....
 
Hii si uhakika moja kwa moja,ni kesi kwa kesi
Yaa, inaweza kutokea wakikuingiza chaka ukaja kuwaumbua kwenye kipimo cha buku 5......wazazi wana group O, mara mtoto kapata group A, lazima kiumane.
 
Ukienda polisi hakuna ukweli ukifika mahakamani nako vile,ukija uchaguzi nako vile,itakuwa DNA.

Inawezekana na mtoa majibu DNA naye ni wakupachikwa sio baba yake
 
Back
Top Bottom