Mamlaka husika Dodoma chukueni hatua

Mamlaka husika Dodoma chukueni hatua

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Salama wakuu....
Kuna hii kero mkoani Dodoma naomba mamlaka husika mchukue hatua!Ni hivi hapa kwenye taa za barabarani(traffic lights) zilizopo hapa karibu na chako ni chako,kama unatoka Nyerere Square ukivuka mataa kuelekea airport,mara tu baada ya kumaliza mataa upande wa kushoto kuna maduka makubwa tu,sasa tatizo ni kwamba kwenye hayo maduka mbele hakuna parking ya magari hivyo wenye magari wanapaki barabarani kitu ambacho kinaleta usumbufu na kuweza kusababisha ajali kwa watumiaji wengine wa barabara.Ikumbukwe hii ni double road hivyo kwa magari hayo kupaki barabarani inaleta usumbufu!Nawasilisha!!
 
Back
Top Bottom