Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Mamie nione mwenzio, nimeisha , nimechoka nateseka
Mamie mateso ninayopata sababu yako ni mengi, na bado huonekani kujali
Tizama nguo nilizovaa zina viraka na zimefubaa pesa yote nakupa wewe,
Mpenzi wangu unataka nikupe nini? roho yangu uiweke kwenye chupa?
Nakumbuka siku ile nimekuona kwa mara ya kwanza,
Moyo wangu ulishtuka nilipigwa na bumbuwazi kwa uzuri wako
Nasema haya yote sababu ya mapenzi yangu kwako Mamie,
Moyo unateseka yote namwachia mungu
Nasema haya yote kwako mamie
Sababu ya huzuni iliyofurika moyoni mwangu
Ona mwenzako navyoteseka Mamie...eyehh yeeh nina mateso mengi mamie
Mamie siye bado vijana, iyeeh yeeeh ya nini mateso mengi Mamie
Mamie najua pesa ooohh.... iyeeh yeeh.... yote maisha Mamie
Mamie nalia oh yoyooohhh
Najiona nina mikosi mingiii.....
Nimepatwa na Maradhi ya moyooo....
Kazini nimefukuzwa mimiii....
Haya yote sababu yako wewe...
Hata huruma kwangu huna Mamiee
nitakupa kila nilicho nacho Mamiee
Mamie, Mamie, Mamieeeeeh
Pesa mi sina na Utajiri nahangaikia
Ninajiangalia ninavyoteseka
Ninajiangalia ninavyokesha usiku kucha
Najiona kama katika mapenzi nina laana
Nawaza pengine nimeze sumu tu
labda nikajitupe baharini
Niliwe tu na samaki
Nisiwape hasara ya Mazishi wazazi wangu
Nilitaman niwapate nawe wana
lakini acha tu nijifie
Acha tu nipumzishe moyo wangu
Huu wimbo kila napouimba namkumbuka jamaa yangu aliyeuza nyumba ya urithi wagawane na ndugu zake akapata pesa amsomeshe mwanamke ambaye akiwa chuoni alipata mwanaume mwingine. alipomaliza chuo na kuajiriwa akamuacha yule bwana aliyemsomesha. wanaume tumeumbwa na mateso, tunawahangaikia wanawake. nao wakati mwingine hutusahau.