Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Jihadi haihitaji mtu kujiunga, wewe hapo ulipo unajitahidi sana kuuponda Uislam, nayo jitihada pia. Au ni kurusedi?
Utaenda lini kujitoa mhanga?
Jihadi haihitaji mtu kujiunga, wewe hapo ulipo unajitahidi sana kuuponda Uislam, nayo jitihada pia. Au ni kurusedi?
Utaenda lini kujitoa mhanga?
Nijitoe "mhanga" ulisikia mimi ni mwenye laana kama mlivyomzulia Yesu? kuwa eti ana laana ndiyo katundikwa msalabani kuwa eti yeye ni mhanga wa kubeba dhambi zenu. Khaa! Hata haya hamuoni?
Ukiona mtu anakuchukulia kazi yako jua you are not competent enough, nenda kaongeze competency alafu urudi tena. Unless excuse iwe anafanya kazi kwa the same level sema anakubali kupewa low pay kuliko wewe...
Unaenda lini kuvaa mabomu ujilipue ili uende peponi?
The day is coming when you'll account for your nasty words.Nijitoe "mhanga" ulisikia mimi ni mwenye laana kama mlivyomzulia Yesu? kuwa eti ana laana ndiyo katundikwa msalabani kuwa eti yeye ni mhanga wa kubeba dhambi zenu. Khaa! Hata haya hamuoni?
ni ajabu ya dunia lakini ni kweli!; kuna wanadamu hawaitaki TANGANYIKA nchi ambayo walipewa na Mungu!OVER a thousand immigrants in South Africa have fled their homes following a series of violent attacks by locals in the eastern port city of Durban, police said on Thursday.The immigrants, mostly African, have been housed at police stations and tents, as angry locals vowed to push them outin South Africas latest case of xenophobic unrest.They said they were intimidated to vacate their homes by locals and came to us because they feared for their lives, police spokesman Thulani Zwane said.Violent clashes between immigrants and locals often flare up in South Africa, as impoverished residents accuse them of taking their jobs.The situation has been tense since Monday, with more people fleeing their homes in the south of the city.Police said no deaths had been reported since the violence started.Police on Wednesday broke up a march by a group of foreign nationals who were protesting against the violence, firing water cannons and tear gas.Police said the march was illegal. Spokesman Eugene Msomi said the crowd had to be dispersed when they failed to follow orders to do so.They were informed in writing the day before not to march due to prevailing safety concerns, Msomi said.The attacks came days after Zulu king Goodwill Zwelithini publicly said immigrants should pack their bags and leave the country.The comments made during a traditional event north of KwaZulu Natal province were widely reported.Similar statements have been made by President Jacob Zumas son Edward.Locals and African immigrants in South African often compete for scarce jobs, making them a target for violence and intimidation.Early this year, foreign shopkeepers in and around Soweto, south of Johannesburg, were forced to vacate their premises after violence and looting broke out.The government condemned the violence and sent mediation teams to intervene.In 2008, 62 people were killed in xenophobic violence in Johannesburg townships.Again! Over 1,000 foreigners in South Africa flee homes in outbreak of xenophobic attacks | Mail & Guardian Africa![]()
Unaenda lini kuvaa mabomu ujilipue ili uende peponi?
Je unatambua kuwa Yesu pia alijitoa muhanga?
The day is coming when you'll account for your nasty words.
Unaenda lini kuvaa mabomu ujilipue ili uende peponi?
Huyu ni "mhanga" au laana? pata jibu:
Wagalatia Mlango wa tatu.
1 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?...
...
13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Dah! inasikitisha sana, mtume wa Mwenyeezi Mungu huyu mnamwambia ana "laana"!
AstghafiruLlah.
Yesu ni Mungu.
Yesu ni Mungu.
"Mungu si Athumani".
Jana ililetwa nyuzi kiwaziri kimoja kilichokosa uongozi huko Australia kinawanyanyasa Waislam, kwa sababu tu Uislam unakuwa kwa kasi sana huko.
Leo kulikoni? Naomba kujuwa wanaofukuzwa Afrika Kusini ni Waislam? na anaewafukuza ni Muislam?
Hapo sasa.
Hapo ndipo utapojuwa kuwa Kenyatta alikuwa akiona mbali zaidi ya Nyerere.
Udini umekujaje hapa mkuu? Changia mada kwa mantiki husika sio kuingiza mada zisizokuwepo?
Nyerere kupogania uhuru wa Afrika haikumaanisha kuwa kila Mwafrika akaishi anayotaka bila kufuata sheria. Kila nchi ina sheria na taratibu zake, wengi wanaofukuzwa wanaishi huko kinyemela. Tatizo faiza Fox una fikra finyu sana
Jaribu kaeneze ukristo Saudia uone cha mtema. Walau uislamu unaenea Australia.
Hayo yote yako wewe. Lakini si ukweli ulivyo. Soma tena post namba moja, Jee, utafikia kuwaua watu 62 kwa kuwa tu "wanaishi kinyemela"? Hilo hujaliona?
The attacks came days after Zulu king Goodwill Zwelithini publicly said immigrants should pack their bags and leave the country.