Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Mamia ya jamii za wafugaji wakiwemo kinamama na watoto katika wilaya mpya ya Mvuha iliyoko mkoani Morogoro wanalazimika kuishi chini ya miti kutokana na nyumba zao na akiba ya chakula kuchomwa moto kufuatia operesheni ya kuondoa mifugo wilayani humo ambayo inadaiwa kufanyika kwa nguvu kubwa huku watekelezaji wake pia wakituhumiwa kupora baadhi ya mali na fedha.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV