Mameya wa CHADEMA wataka kumuona Rais Magufuli

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Meya wa Moshi mjini kupitia Chadema na mwenzake Boniface Jacob wa Ubungo wameomba kuonana na Rais Magufuli awasaidie kutatua changamoto za maendeleo katika maeneo wanayoyaongoza.

Chanzo: kipindi cha Clouds 360!
 
Hao wanatafuta kufukuzwa bure kwa kuitwa wasaliti maana Rais anayetambulika ni yule wa mioyoni mwao. Anyways Rais mwenyewe nilimsikia akisema anafanya kazi na mtu anayetaka kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi.
 
Wanataka kumfikishia ujumbe jinsi wakuu wa mikowa, wilaya na wakurugenzi wanavyo kwamisha juhudi za maendeleo kupitia CHADEMA

Kwasababu yeye ndio chanzo.
 
Hao wanatafuta kufukuzwa bure kwa kuitwa wasaliti maana Rais anayetambulika ni yule wa mioyoni mwao. Anyways Rais mwenyewe nilimsikia akisema anafanya kazi na mtu anayetaka kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi.
Avatar yako ina Signal what is inside your head / Brain

Sent from My Scania 109 Using JF Mobile App
 
Hilo siyo kosa wafuate utaratibu tu wataonana nae shida yao moja ni hii,Kitendo cha hili kusudio lao kujulikana wakati wao hawajaanza labda kufuata protocali ndio yanayotuponza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah!

Hawa si ndio Walimtukana na kumdhalilisha Zitto Kabwe sasa hivi wanaanza kufuata Nyayo za Zitto kutaka ushirikiano na Rais!
 
Back
Top Bottom