Kwani siku hizi inatolewa??
Uliza wewe haya majamaa sijui kama yapo sawa........sii walisema hawamtambui au?
Kabla Ya kumwona raisi wakaonane kwanza na wakuuu wa wilaya kwanza baadaye wakaonane na wakuu wao wa mikoa walipo. Wameshaonana na hao wawakilishi wa raisi kwenye maeneo Yao?Meya wa Moshi mjini kupitia Chadema na mwenzake Boniface Jacob wa Ubungo wameomba kuonana na Rais Magufuli awasaidie kutatua changamoto za maendeleo katika maeneo wanayoyaongoza.
Chanzo: kipindi cha Clouds 360!
Meya wa Moshi mjini kupitia Chadema na mwenzake Boniface Jacob wa Ubungo wameomba kuonana na Rais Magufuli awasaidie kutatua changamoto za maendeleo katika maeneo wanayoyaongoza.
Chanzo: kipindi cha Clouds 360!
Nawashauri waonane na wabunge wa maeneo yao husika hata kama sio wa Chadema.
Wamuone Waziri mkuu kwanzaNawashauri waonane na wabunge wa maeneo yao husika hata kama sio wa Chadema.
Sasa wanataka waonane na Rais ili iweje maana akiwakubalia wakaonana nae akakubali maombi yao wataanza maandamano na rais wa mioyo yao kujisifia tumefanya Hiki mala kile wakisahau aliyewawezesha,na ndio haya waliyoambiwa bungeni asiyeunga mkono bajeti hapelekewi maendeleo jimboni kwake walifungua midomo kama punda jike akihitaji dume.Meya wa Moshi mjini kupitia Chadema na mwenzake Boniface Jacob wa Ubungo wameomba kuonana na Rais Magufuli awasaidie kutatua changamoto za maendeleo katika maeneo wanayoyaongoza.
Chanzo: kipindi cha Clouds 360!
Rais ni neno zito sana,yule ni raia/mwananchi wa kawaida tu wa monduli.Hao wanatafuta kufukuzwa bure kwa kuitwa wasaliti maana Rais anayetambulika ni yule wa mioyoni mwao. Anyways Rais mwenyewe nilimsikia akisema anafanya kazi na mtu anayetaka kufanya kazi kwa manufaa ya wananchi.
Inashangaza.wameacha lini kumtambua mamvi
hahaha washaanza kuelewa mpaka kufikia 2020 upinzani watabaki vilaza kama mbowe lissu na mdeeMeya wa Moshi mjini kupitia Chadema na mwenzake Boniface Jacob wa Ubungo wameomba kuonana na Rais Magufuli awasaidie kutatua changamoto za maendeleo katika maeneo wanayoyaongoza.
Chanzo: kipindi cha Clouds 360!
Wanataka kutapeli serikali wanataka serikali idhamini mkopo wa bilioni 14 Kutoka CRDB wakizipata waingie mitini serikali ilipe. Maana hawatoi ushirikiano kwa mkuu wa wilaya wala mkoa. Vitu vyao wanataka viwe siri yao serikali isijue na isiwe karibu nao. Serikali ikifika kusaini dhamana ya mikopo majimbo korofi Ya upinzani msisaini. Ni high risk kwa serikali .Hawakawii kusepa na kuanza kelele kuwa serikali ya CCM ndio imewafikisha hapo hivyo deni walipe Serikali wenyewe!!Kwani RC Makonda hawezi kutatua shida zao?
MikoaWanataka kumfikishia ujumbe jinsi wakuu wa mikowa, wilaya na wakurugenzi wanavyo kwamisha juhudi za maendeleo kupitia CHADEMA
Kwasababu yeye ndio chanzo.
MikoaWanataka kumfikishia ujumbe jinsi wakuu wa mikowa, wilaya na wakurugenzi wanavyo kwamisha juhudi za maendeleo kupitia CHADEMA
Kwasababu yeye ndio chanzo.
Hahahahahahahahahha duh!!